MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Hahaha, uzi tayari!Duh....mmeshaanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, uzi tayari!Duh....mmeshaanza!
sasa sisi tunategemea kila kitu kwa wazungu, hatujawahi kurusha hata unyoya tu wa kunguru kwenye satelite, simu na mawasiliano yetu yooote mzungu kayaweka kiganjani. ndio maana wana uhakika hatutakuja kuwatawala.Hivi kweli ndege kama Air force 1 inawezekana ikaonekana mfano Botswana bila taarifa yoyote kwa nchi ya Marekani? Lakini huku kwetu ni kitu cha kawaida sana. Nakumbuka kuna ndege moja ya serikali fulani ilikwenda kubeba majani ya ng'ombe ya first lady west Kilimanjaro ikazama kwenye matope basi haikuruka tena na haikutangazwa wala mpaka leo haijulikani kama iliuzwa chuma chakavu au bado ipo pale pale lakini ni miaka mingi sana imepita.
kama anahani, si lazima atakutana nao, awaambie tu kwamba kama hawataki hatuwabembelezi, yeye akiondoka madarakani tutawanyooosha, na pia Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo ambaye ndiye proved kuwa na Nguvu kuliko mungu wao atatusaidia na kututoa kwenye mikono yao.Amekwenda kuhani msiba wa yule mdogo wake rais wa Abu Dhabi aliyefariki Alhamisi
Kinachoshangaza kwanini akae kimya kwenye jambo kubwa kama hili, badala yake wasaidizi wake kila mtu ana jibu lake, tatizo ni nini hasa.na kama kuna mtu alimpotosha, mama ajipimbe, amshughulikie na kumweka naye mbali. wanamtesa tu mama wa watu, kwasababu ukimwangalia kwa makini unaona kama ana nia nzuri tu ila wanampotosha. hadi wanawake wenzie washageuka wanasema asiwaaibishe ili siku ingine mwanamke akitaka kugombea waseme huyu alionyesha mfano mbaya. hivi leo hii mwanamke anagombea urais unafikiri atapata? mama aonyeshe kwanini wanawake nao wanastahili uongozi, aonyeshe makeke yake sasa. fanya maamuzi magumu hadi wanaume tukuone.
Hatukumchagua🙏🙏🙏ila kwenye uchaguzi ujao Watanganyika tuwe makini, tusichague tena mtu mwenye ndugu uarabuni, manake hata wakifiwa tu msibani wanaenda na ndege yetu. baadaye wataanza kwenda hata kwenye kitchenparty za ndugu zao uarabuni.
Kama wangepanda ndege na kuja tz hapo sawa lkn umewafuata kwao hiyo sahau mkuu.tumwombee maza, pengine ameenda kuwaambia wabadilishe vipengele,ama la atawapiga chini awalipe fidia. mambo mema yanakuja bila shaka. kati ya watu wanaosikiliza na kufuatilia mitandao sa100 ni mmojawapo, na hapendi kabisa achafuliwe jina. basi tu kazungukwa na genge la ajabu ila yeye anaweza kuwa na nia njema sana.
Kama kazi imemshinda arudishe funguo za ofisi tuna watu wenye uwezo kuliko yeye!Ni kweli alisemaga mwenyewe kwenye mkutano wa UVCCM kuwa yeye alikuwa kwenye maNGO tu.
Sasa linchi likubwa kama Tanzania duh! Duh! Shuruti tuombe msaada arabuni watuwendeshehee
Mlipenda Rais anayejifungia ndani. Uraia ni pamoja na kusafiri kwendda kuona atafanyaje kulinyanyua taifa, wananchi na mema ya nchi ndio utimamu kwa kiongozi. Tanzania ina watu wa hovyo sana na wanafiki, na wasio na utu hata kidogoHuyu Mama naye sasa amekuwa kiguu na njia, hatulii! Amalize miaka yake hii 2 iliyobaki apumzike!
Alizoea NGO, Nchi ni zaidi ya NGOs!
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735