Waarabu kama wana huruma aisee wamsaidie uyu mama kwenye huu mkataba, wamsamehe kwasababu imemkera sana na anashindwa afanyeje. inawezekana anajuta na kujilaumu lakini tayari ashaingizwa king,yeye ndo amebaki kujibembeleza na kuwapigia goti. ndio utumwa uo sasa. ni sawa na mtu anakuja kukukopa pesa, ukifika muda wa kulipa pesa ni ya kwako lakini unaenda kumwomba akusaidie kukulipa, yaani umegeuka mtumwa kwenye mali yako. ndio huu utumwa sasa. dp worl walikuja mikono nyuma, wametusainisha mkataba wakaenda zoa, tumepiga kelele wameziba masikio wanasubiri sisi ndio twende tukawapigie goti, hakika walitakiwa kufutwa kabisa kama fidia wacha tulipe itakuwa ndogo kidogo kuliko kuwa na watu kama hawa. wawekezaji kama hawa wanaweza kukutawala sana wakiwa nchini kwako na huna la kuwafanya, sometimes naona bora kuwafukuza tu.
hivi, uslaama wa taifa upo wapi? hawawezi kumshauri mama? pia, kinana na kikwete na wanajeshi wengine, hivi hawaoni sovereignity yetu imenyang'anywa na hawa waarabu, hawawezi kumshauri vizuri maza? kinana si alikuwa luten wa jesh kabisa huyu? haoni dp world walivyomonopolize nchi yetu hata kabla hawajaingia? au kwasababu hata yeye alionekana amepiga picha na wale waarabu wa loliondo kipindi kile?