Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Wewe ni mpumbavu km unafikiria huo ujinga

Raslimali zetu halafu akapige nagoti

Ukiona hivyo ujue Rais ni fisadi
Nitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda.

Si mnaona tulichokuwa tunasema utumwa ndio huu sana, tumeanza kuhangaika kwenye mali zetu sisi wenyewe. mwarabu kakaa kimyaa anasubiri sisi twende tukapige goti na akiwekez ahapa tutamlinda na kumwabudu. natamani iwe kweli, aende kwa waarabu akaongee nao upya, wabadilishe vipengele vya mkataba, wawekeze mambo yaendelee.
 
Samia hana nia nzuri ni mdini

Ndio maana anawapendelea waarabu kwasababu ni dini yake
na kama kuna mtu alimpotosha, mama ajipimbe, amshughulikie na kumweka naye mbali. wanamtesa tu mama wa watu, kwasababu ukimwangalia kwa makini unaona kama ana nia nzuri tu ila wanampotosha. hadi wanawake wenzie washageuka wanasema asiwaaibishe ili siku ingine mwanamke akitaka kugombea waseme huyu alionyesha mfano mbaya. hivi leo hii mwanamke anagombea urais unafikiri atapata? mama aonyeshe kwanini wanawake nao wanastahili uongozi, aonyeshe makeke yake sasa. fanya maamuzi magumu hadi wanaume tukuone.
 
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!

Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Ndo maana niligomea ombi la kugombea urais.

Mnafuatilia mnoo. Yaani🤣🤣🤣
 
na kama kuna mtu alimpotosha, mama ajipimbe, amshughulikie na kumweka naye mbali. wanamtesa tu mama wa watu, kwasababu ukimwangalia kwa makini unaona kama ana nia nzuri tu ila wanampotosha. hadi wanawake wenzie washageuka wanasema asiwaaibishe ili siku ingine mwanamke akitaka kugombea waseme huyu alionyesha mfano mbaya. hivi leo hii mwanamke anagombea urais unafikiri atapata? mama aonyeshe kwanini wanawake nao wanastahili uongozi, aonyeshe makeke yake sasa. fanya maamuzi magumu hadi wanaume tukuone.
Ni kweli kbsa yaani ni vyema akaombe msamaha kwa mfalme wao
 
Back
Top Bottom