Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Kinachochekesha ukipita humu utafikiri Tanzania yote ndo inaongea hivi, kumbe huku mtaani raia hata hawana habari hivi vistori vya kizushi vya hawa 'overgrown babies' wa jf
Uzushi uko wapi hapo mkuu?
 
Sidhani kama ndege hiyo kila inaposafiri lazima Rais awepo ndani yake.

Kwa mfano kwani Rais hawezi toa ndege yake kubeba msafara flani wa viongozi wa wizara?

Je ndege haiwezi kwenda Services nje ya nje na ikienda lazima Rais awe ndani?

Kwa ufupi wengi watanzania kinachowasumbua ikiwepo wapinzani ni madaraka tu. Sijaona baya la Samia lakini watu wanam portray kama worse president ever.

Lakn katika yote hajawahi kuja Rais aliependwa na wote. Rais afanye kazi zake muda wake ukiisha apumzike atakuja mwingine kutukanwa pia kama watangulizi wake.
 
Anahangaika kuuza nchi.
Screenshot_2023-07-28-06-56-14-337_com.twitter.android.jpg
 
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!

Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Huyu samia anaenda kulisambaratisha taifa la Tanzania, ni swala la mda tu
 
Back
Top Bottom