Bakizeni mengine mdomoni wapendwa....mnajiachia mno hata kama mpo huru
Bakizeni mengine mdomoni wapendwa....mnajiachia mno hata kama mpo huru
Amekwenda kuficha dhahabu!! Hiyo ndege many times it has been tracked in Oman!
Nitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda.
Si mnaona tulichokuwa tunasema utumwa ndio huu sana, tumeanza kuhangaika kwenye mali zetu sisi wenyewe. mwarabu kakaa kimyaa anasubiri sisi twende tukapige goti na akiwekez ahapa tutamlinda na kumwabudu. natamani iwe kweli, aende kwa waarabu akaongee nao upya, wabadilishe vipengele vya mkataba, wawekeze mambo yaendelee.
na kama kuna mtu alimpotosha, mama ajipimbe, amshughulikie na kumweka naye mbali. wanamtesa tu mama wa watu, kwasababu ukimwangalia kwa makini unaona kama ana nia nzuri tu ila wanampotosha. hadi wanawake wenzie washageuka wanasema asiwaaibishe ili siku ingine mwanamke akitaka kugombea waseme huyu alionyesha mfano mbaya. hivi leo hii mwanamke anagombea urais unafikiri atapata? mama aonyeshe kwanini wanawake nao wanastahili uongozi, aonyeshe makeke yake sasa. fanya maamuzi magumu hadi wanaume tukuone.
Sawa mkuuHuyo aliyeposti huko twita ni Maria Sarungi wanamjua mpaka Baba yake na wala hajaficha kitu mpaka picha yake kaweka, halafu wewe unaleta vitisho mbuzi unafikiri kuna mtu anaweza mgusa huyo demu Maria?
Ni kweli mkuuHuyu ni mwajiriwa wa wananchi, wana haki ya kujua kila kinachofanywa na ikulu ya chamwino/magogoni.
Ulitaka isionekane?Duh....mmeshaanza!
Huu Mkataba ni kuwa Sultani wa Oman anarudi Mazima
Huyu Mama naye sasa amekuwa kiguu na njia, hatulii! Amalize miaka yake hii 2 iliyobaki apumzike!
Alizoea NGO, Nchi ni zaidi ya NGOs!
Ndo maana niligomea ombi la kugombea urais.Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Ni kweli kbsa yaani ni vyema akaombe msamaha kwa mfalme waona kama kuna mtu alimpotosha, mama ajipimbe, amshughulikie na kumweka naye mbali. wanamtesa tu mama wa watu, kwasababu ukimwangalia kwa makini unaona kama ana nia nzuri tu ila wanampotosha. hadi wanawake wenzie washageuka wanasema asiwaaibishe ili siku ingine mwanamke akitaka kugombea waseme huyu alionyesha mfano mbaya. hivi leo hii mwanamke anagombea urais unafikiri atapata? mama aonyeshe kwanini wanawake nao wanastahili uongozi, aonyeshe makeke yake sasa. fanya maamuzi magumu hadi wanaume tukuone.