Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Nani aliwahi kukuambia kuwa JPM amelazwa kwenye moja ya zahanati za DSM na yupo hoi? Taarifa iliyotoka ni " Rais ni mzima na anachapa kazi"
 
ulivyo muongo nani alikuambiaga Magufuli anaumwa amelazwa? Acheni miuwongo ya kipuuzi
 
Sema huyu mwamba anajaribu kutoa signal ila wabongo tunapenda thread za kufakamia potassium permanganate (kmno4)
ukweli ntupu. Ráisi kuzura bila taarifa yoyote ni jambo la kushangaza.

Tatizo Watz wengi kichwani tupo weupe. Tulipaswa kushikia Bango hili swala hadi mamlaka zituambie Raisi yuko wapi
 
Angekuwa na busara, huko Dubai angeambatana na akina Lissu, Mwabukusi, Madeleka, nk.


Ujinga, watu wale wale waliomfikisha hapa ndio hao hao unakuta kaambatana nao.
Wajinga nyie mnaohangaika kumpekenyua Mama wakati yeye anajilia bata tu.
Na hata akiachia ngazi leo hii bata litaendelea mpk kufa kwake. Sasa sijui nyie mnapata nn kwa kazi hii
 
Hawa wajinga wanafanya mambo kwa siri, bahati mbaya siri yao imeshafichuka, ajabu bado wanaendelea kuilazimisha ibaki siri.

Hii akili mbovu ndio iliyoko kwenye ofisi kubwa ya nchi yetu, namaanisha ndio inayotuongoza, kwa sababu hiyo, kwa nini tusigeuzwe watumwa ndani ya nchi yetu?

Watanganyika tumepata hasara kubwa sana.
 
Hii dalili watu hawana kazi za kufanya.
Anyway inawasaidia pia kupunguza stress
 
Umepata hasara wewe
 
Kijana una kibali chakuifuatilia ndege ya Raisi ? Hata kama na free available public information hapa Tanzania warakutwika zigo la kuratibu na kupanga njama za kuilupua ndege ya Raisi..pamoja na kushirikiana na maadaui kuexpose taarifa zinazotishia usalama wa Namba 1 wa Taifa.
 
Kale ka MOU kamisitu na Dubai katamaliza mistu yetu miaka michache ijayo.

Mtu anaishi jangwani halafu anakuja kukuendelezea misitu yako.

Wenye akili na waelewe.

Okoa Tanganyika yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…