Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Huna hata aibu, kisa mkate wa kutupiwa? Simama kama mwanaume acha ukibaraka.
 
Nyie ni kama bundi mara mseme Iko Saudia siku ya 8 Sasa mara Iko Oman mara saizi mnasema Iko Dubai yaani ni upuuzi tuu.

Tafuteni wajinga wenzenu ndio muwe mnaambizana huu utoto.
Haijalishi yuko wapi? Rais wa nchi popote alipo ni suala la Nchi, asipoonekana hadharani tunahoji, ndege yake hawezi kuiruhusu kuzurura ovyo bila kujali maslahi mapana ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…