Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Hivi huwa vinawafariji wenyewe vikauli kama hivi ee?!!!

Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, yuko fresh na kama anatoka basi kwa ajili ya mipango yake tu mingine ya kimaendeleo kwa nchi yake na raia wake na wala siyo hivi vikelele vya kisungo vya hawa nyumbu a.k.a majuha......she's too busy to waste her valuable time kwa nyumbu ndo maana anatulia tu, anawachora tu.
Huna hata aibu, kisa mkate wa kutupiwa? Simama kama mwanaume acha ukibaraka.
 
Nyie ni kama bundi mara mseme Iko Saudia siku ya 8 Sasa mara Iko Oman mara saizi mnasema Iko Dubai yaani ni upuuzi tuu.

Tafuteni wajinga wenzenu ndio muwe mnaambizana huu utoto.
Haijalishi yuko wapi? Rais wa nchi popote alipo ni suala la Nchi, asipoonekana hadharani tunahoji, ndege yake hawezi kuiruhusu kuzurura ovyo bila kujali maslahi mapana ya nchi.
 
Haijalishi yuko wapi? Rais wa nchi popote alipo ni suala la Nchi, asipoonekana hadharani tunahoji, ndege yake hawezi kuiruhusu kuzurura ovyo bila kujali maslahi mapana ya nchi.
Msubirie 8/8 na tarehe 10 utamuona tuu
20230803_090427.jpg
 
Back
Top Bottom