Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

Ivi hii issue si ni lile shamba alilompa bakhressa?
Inawezekana ikawa hivyo lkn ile kutojali kuwa mali ya watanzania ilikuwa ni zaidi ya dharau sana kutoka kwa Jiwe
 
..serikali ieleze imelipa kiasi gani kukomboa ndege.

..pia aliyefanya maamuzi yaliyopelekea ndege kukamatwa atajwe na awajibishwe.
 
Hilo la kwanza linawezekana ila la pili tumwachie Mungu maana kazi yake haina makosa.
 
Ahsante mama Samia kufanya vitendo bila jazba na kuirudisha ndege.

Waliokuwa hawaelewi sasa waelezwe kilichokuwepo na kilichafanyika mpaka ndege kurudi.

Mficha maradhi kifo humuumbuwa.

Kabudi tueleze.
Matindi tueleze.
Nape Nnauye tueleze

Au tufiche kombe mwanaharamu apite?
Na mkichezea mkataba wa Mwarabu wembe ni ule ule
 
Ahsante sana Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kufanikisha jambo hili Muhimu.
 
Umemkodisha mtu ardhi kwa sababu ya kilimo

Miaka zaidi ya 15 hakuna shughuli zozote za kilimo ana fyeka fyeka tu maeneo kuonyesha bado yupo.

Robo tatu ya shamba imekuwa pori, umetaifisha kwa mujibu wa sheria kwa sababu eneo alitumiki kwa matumizi mwekezaji kapewa; ata kama lease hold aijaisha, hiyo ni serious breach.

Anatoka hapo anakimbilia anapojua anadai damages za zaidi ya millioni, not sure how he can justify that ata kama angekuwa amelima shamba lote wakati unalichukua.

Ndege yako inakamatwa wewe bila ya kwenda arbitration wala kuitwa kusikiliza mgogoro.

Arbitration yenyewe arbitrator anachagua ushahidi anaodhani muhimu; probably hajui implied terms za sheria ya ardhi Tanzania anaweza asiombe huo ushahidi; ni jukumu lako kutaka huo ushahidi utumike.

Ni hivi ni Tanzania pekee ndio inashindwa kesi rahisi.

Ukisoma hapa tunavyoandika unaweza kuona huyu jamaa anajikuza sana; lakini hayo mapungufu yapo wazi baada ya hili sakata la bandari na uelewa mdogo wa IGA ulioonywesha na wanasheria mnaowaita ngumi.

Pekekeni vijana kusoma business law undergraduate na shahada nyingine za biashara. Huko ndio misingi ya hayo mambo na yanafundishwa kwa kina tofauti na huu upoyoyo wenu mnaodhani mtu mwenye masters na Phd anaweza kukusaidia kwenye kila kitu.

Tanzania ni shamba la bibi kwa mafisadi.
 
Sasa wewe upo upande gani mzee?
 
Nadhani kuna watz humu humu ndani wanachezesha michongo tushindwe kesi. Sio kwamba watu hawajui
 
Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.

Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.

Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.
===

Serikali imesema ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini jana.

“Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha kuna ndege yetu tulikuwa na kesi nchini Uholanzi ikakamatwa, ilikuwa chini ya mikono ya sheria. Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni iko Tanzania,” amesema Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 8, 2023 mjini Arusha.

Amesema ndege hiyo inaendelea kuandaliwa ili ianze shughuli zake.

“Chuma kimerejea kiko Tanzania, tunaendelea kuimarisha shirika letu, mambo yetu yatakuwa yaanaendelea kuwa mazuri,” amesema Msigwa aliyezungumzia masuala mbalimbali, ikiwamo miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti nchini.

Mwananchi
Watuambie wamekubali kulipa kiasi gani ili ndege iachiwe.

Amandla...
 
Back
Top Bottom