Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

Inakuhus nini kafanye mambo yako, unajipa majukumu yasiyokuhusu na usiyoyaweza kwanini. Mtu mzima umejaa umbea bila haya?
 
Tanganyika si ni shamba la bibi au kichwa cha mwendawazi? Watakuwa wamebeba chochote wakitakacho. Labda Uranium
 
Pembe zimesalimika kweli
 
Imepotea kwenye Radar?! Au imepata ajali nini?! Ilibeba nini?!
 
Hao ni washamba wa hovyo, eti haionekani kwenye radar, ye ana radar? Mbona kila siku asubuhi pale Manyara airport ndege zinashusha abiria na kupakia wengine, hizo ni shuttle za kawaida na pale ni zaidi ya hata ndege 20 kwa siku, huyu mshamba sijui ni wapi. Wenzio wanaoishi maeneo ya kitalii wameshazoea hayo mambo. Wanajifanya wanajua kuifuatilia hii serikali, wapumbavu kabisa. Hawamwezi Rais wetu minyau hiyo.
 


Hoja yako ina mashiko na ukweli but uwasilishaji wako umekuwa kama wa kusutana

Ukisoma hoja ya mleta hoja wala ajaweka wazi Jambo lolote

Yeye ameshangaa kama wengine tunavyoshangaa why haina transponder

Majibu yako yanaweza kuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…