Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

Sasa mbona umepaniki?
 
we ndio mtanganyika, nchi ya kufikirika, sisi ni watanzania,
 
Hoja yako ina mashiko na ukweli but uwasilishaji wako umekuwa kama wa kusutana

Ukisoma hoja ya mleta hoja wala ajaweka wazi Jambo lolote

Yeye ameshangaa kama wengine tunavyoshangaa why haina transponder

Majibu yako yanaweza kuwa sahihi
Ccm wana hasira sana
 
Ushamba ni mzigo bwashee, labda anadhani hiyo app anayo peke yake😂😂😂q🤣🤣🤣
 
Ni Bwenyenye mmoja mashuhuri hakutaka kusumbuliwa na Waswahili alikuja kwa kupumzika. Msisumbue ndege za matajiri mtakosa watalii fuatilieni tu ya Hangaya kwani mnamlipia mafuta na ukarabati wengine haiwahusu msiwe malimbukeni
 
Nchi iko mikononi mwa majangili na mafisadi papa wasiogusika, kweli Samia ni hatari kwa ustawi wa Tanganyika yetu, Zanzibar ndio Chato ya sasa
 
Kuna post zingine za kijinga sana aisee. Hata hapa kwetu Ilboru kwa Mollel tumeona ndege angani inapita kuelekea uelekeo wa Karatu hatujui imebeba nini. Ila Haji Mbabee anasema labda ni watalii. Tunaomba kama kuna mwingine kaona ndege inapita atoe taarifa kwenye huu uzi wa hovyo.
 
Ndugu yangu ushamba mzigo. Tupeleke watoto wetu nje wapate exposure. Jf imekuwa kituko nowdays
Hata ukipeleka Wabongo wana DNA za Kushamba , unafiki, wizi, wivu, ujinga na upumbavu sugu usioondoka hata uwapeleke duniani kote. Nje ya nchi wanaonekana walivo limbukeni wakirudi Bongo wanavaa makoti yao ya ujinga na upumbavu na kuanza kuitwa waheshimiwa
 
Ninachoshukhuru sasa hivi kila mtu amekuwa au awe mlinzi wa mali zetu za asili,kama wewe ni mtanganyika sababu kipindi hiki tutaona mengi sana.

Sasa kama wewe mwingine utakuwa dalali wa kukuwadia mali zetu ukisaidiana wageni wanaotorosha mali zetu utajijua akili yako mwenyewe
 
Mchunga ng'ombe huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…