Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

Inawezekana Kuna kitu kikubwa sana na Cha ajabu sana ambacho huyu jamaa alifanyiwa na the late JPM. Comments zake karibu zote lazima aingize jina la JPM hata kama hapastahiki. Hilo la wizi wa kura sidhani kama ndo sababu, inawezekana Kuna unyanyasaji mkubwa tusioujuwa alifanyiwa na JPM. Haiwezi kuwa Bure.
Alinyanyaswa kijinsia!

.jiulize mwanamke akibakwa mpaka amuone mwanasaikolojia ndio anapona!

Kila siku mimi huwa namwambia tindo akamuone mwanasaikolojia hataki, matokeo yake ndio haya kila kona anamtaja mtesi wake kwa hasira.
 
Tindo nadhani wewe kama siyo una tatizo binafsi basi una chuki binafsi. Enzi za Dkt Magufuli huu ujinga usingetokea kwanza bwawa la Mwl Nyerere lingekuwa limeshakamilika. Sasa wana ongeza invoice kwa kuchelewesha mradi ili hela ya kuila iongezeke na 10%. Usidhani watanzania ni wajinga, wana take a note na kuweka moyoni wakisubiri hukumu 2025, na utaona jinsi ambavyo Rais Samia atahaha na kuhangaika na asipokaa makini atashindwa.
IMG_20230406_222924.jpg

Nchi imeoza hii, hadi vyura wanalamba asali
 
Tindo nadhani wewe kama siyo una tatizo binafsi basi una chuki binafsi. Enzi za Dkt Magufuli huu ujinga usingetokea kwanza bwawa la Mwl Nyerere lingekuwa limeshakamilika. Sasa wana ongeza invoice kwa kuchelewesha mradi ili hela ya kuila iongezeke na 10%. Usidhani watanzania ni wajinga, wana take a note na kuweka moyoni wakisubiri hukumu 2025, na utaona jinsi ambavyo Rais Samia atahaha na kuhangaika na asipokaa makini atashindwa.
Hamna kitu kama icho mkuu samia atapeta kama kawa
 
Kinachomuangusha Rais Dkt Samia vijijini ni (1) mfumuko wa bei (ingawa wakulima wanafurahia kuwa wanauza mazao kwa bei kubwa); (2) kuhisiwa kutokana na kauli zake alishiriki kumuua Dkt Magufuli na kuhisiwa anahakikisha kila alichoanzisha Dkt Magufuli kinakufa (umeme wa REA, etc). Hivyi vitu viwili na vingine ni kikwazo kikubwa sana kwa Dkt Samia. Tena hata mijini wenye vipato vya chini hawampendi kabisa wanahisi kauli zake zinaashiria kifo cha Dkt Magufuli ana mkono wake (kuungana na Kigogo 2014, kuungana na akina Ayatola Zito ambao walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli etc). Hivyo Rais Dkt Samia tumsaidie kwa kumueleza ukweli isije fika maji ya shingo then tuanze kuhangaika kama JK 2010.
Umekula hashua za mbuzi!!!?..mbona una utoko mwingi kichwani!?.. Corona ilikua na sifa ya kuua wenye magonjwa ya moyo,kisukari,ukimwi, saratani,wangapi kwenye circle ya magu walikufa kwa Corona!?..maalim seif kilimuua nini,mahiga!?..kwa taarifa yako uchaguzi huwa ni maonesho tu ili kuondoa lawama kimataifa tusikose mikopo na kuondoa fikra za uasi ndani ya nchi Kama kule Libya
 
View attachment 2578766

Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.

Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.

Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo. Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa, wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja.
Nchi ina laana hyo.. hadi watajane walioitenda ile dhambi. Bila hvyo tegemeeni njaaa na karaha sizizoisha
 
View attachment 2578766

Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.

Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.

Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo. Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa, wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja.

..kwanini haikutua CHATO International Airport?

..halafu watalii wakatembezwa ktk mbuga ya Burigi-Chato.
 
View attachment 2578766

Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.

Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.

Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo. Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa, wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja.
NAJARIBU KUSAIDIA KUSIKITIKA HIVI HAWA JAMAA AMBAO MAMA ANAWABEBA KILA UCHWAO NI WA AINA GANI NA MALENGO YAO NI YAPI?, MARA LUPASO, KILA SIKU MTAANI SHIDA TUPU, HAWA WANATUMIA NDUMBA ZA KUZUBAISHA, SI BURE!
 
Jana tulishindwa kutua KIA kwa tatizo hilihili ikabidi tukatue Nairobi.

Tumekaa pale zaidi ya saa nne ndio tukarudishwa tena baada ya kurekebisha.

Ilikuwa Precision Air. Leo imeroga tena!!? 😳
 
Kawaida sana.. Ilinikuta 2020 KLM flight tuliambiwa tungoje warekebishe.. we were on hold huko juu 20mins plus’Shida ni nini viwanja vyetu watalii wengi lakini uwanja wa KIA ni aibu…
Haya haya bald head kuya na maelezo yaliyonyooooka…
 
Wezi ni wale wale wizi ni ule ule na wezi wale wanahamishwa huku na kule tumefumba macho… eniwei
 
View attachment 2578766

Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.

Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.

Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo. Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa, wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja.
Duh na report ya kai taba iliishia wapi?
 
Jana tulishindwa kutua KIA kwa tatizo hilihili ikabidi tukatue Nairobi.

Tumekaa pale zaidi ya saa nne ndio tukarudishwa tena baada ya kurekebisha.

Ilikuwa Precision Air. Leo imeroga tena!!? [emoji15]
Kuondokewa na Magufuli ilikuwa hasara ya karne kwa Tanzania
 
Back
Top Bottom