Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Asante njiwa.Kunguru we
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante njiwa.Kunguru we
Hili la KLM ni leo, issue ilianza jana…
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amethibitisha Taa za njia ya ndege zilizima kuanzia saa moja Usiku hadi saa tano Usiku kutokana na Mvua nyingi zinazoendelea kunyesha na kuathiri miundombinu.
Ndege iliyokuwa itue muda huo, ililazimika kwenda kutua Entebbe Nchini Uganda.
Hakuna abiria hata mmoja aliyetelekezwa na na Wote watarudi Tanzania.
Ameongeza Uwanja wa KIA baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi.
Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe
Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway. Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours. Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo...www.jamiiforums.com
Hakuna kitu kinoudhi kama kukuta sehemu unokwenda ipo "below standards".Inawezekana Haya mojawapo ya majibu kwanini watalii wakiondoka hawarudi. 😂
Nakuhakikishia approval ya Samia imepanda Sana. Na itapanda mara dufu hadi kufikia hiyo 2025. Achana na maigizo, tembea mikoani au fuatilia taarifa za habari. Samia vijijini amewekeza sana sana sana hasa kwenye miradi ya maji, afya na elimu. Hana mfanowe. Samia anajibu kero za maendeleo in long term plan, angalia machinga walilia Dodoma,waulize leo wanasemaje.Usidhani watanzania ni wajinga, wana take a note na kuweka moyoni wakisubiri hukumu 2025, na utaona jinsi ambavyo Rais Samia atahaha na kuhangaika na asipokaa makini atashindwa.
Mkuu wangu atlas copco mambo yanabadilika. Wana CCM tunaangalia upepo jinsi ulivyo sasa tunaona kabisa mbeleko ya vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kukatika kila kadri siku zinavyosonga. Hebu fikiria, kama Sabaya alisimamia Hai mpaka akapatikana Mbunge wa CCM, same kwa majimbo mengine mengi sana baada ya Dkt Magufuli, wale wote waliosimamia CCM kushinda na kushiriki fitina mbaya wakaitwa jina baya kabisa la Sukuma Gang na Rais Dkt Samia akakubali na kuanza kulishurutisha hilo kundi lililomuweka yeye madarakani kupitia Dkt Magufuli na kibaya kabisa kabisa wengine wakawindwa wauawe, je kwa muktadha huo unadhani kuna mtu yeyote kwenye vyombo vya ulinzi na usalama atashiriki kuisaidia CCM ambayo inaweza kukugeuka muda wowote na ukaonekana takataka???? Hapo kwa CCM kushinda kuna mambo mawili kiuchambuzi (1) ni kutoa rushwa kubwa sana kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa ngazi zote (2) Kuhonga wapinzani wajitoe. Nje ya hapo CCM iko hoi bin taaban na mbeleko ya vyombo vya ulinzi na usalama is no longer there!Hivi Hii nchi unaijua kweli?,Kwahiyo wewe unadhani kura zako ndio zinaamua nani awe kiongozi,utakua mpumbavu wa kiwango cha lami
Umemaliza kila kitu ktk hii comment. Sukuma gang wamekuwa ni watu wa kusubiria hitilafu na matatizo madogo madogo ili wamuinue legacy waoUjinga mtupu, tatizo la kukatika kwa umeme lilianza miezi michache kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2020. Tuna kumbukumbu ya kutosha kuhusu tatizo hilo. Hao waliomtaja labda ni sukuma gang. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Umeanza ramli zako chonganishi!! Hivi hata wewe kwa akili zako yule mchawi alikubrainwash kiasi hicho? Kweli mwafrika bado unyani unamtesa!View attachment 2578766
Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.
Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.
Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo!!! Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa....wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja...
Nakuunga mkono kwa hilo la kuwapumbaza hao wa huko vijijini.Nakuhakikishia approval ya Samia imepanda Sana. Na itapanda mara dufu hadi kufikia hiyo 2025. Achana na maigizo, tembea mikoani au fuatilia taarifa za habari. Samia vijijini amewekeza sana sana sana hasa kwenye miradi ya maji, afya na elimu. Hana mfanowe. Samia anajibu kero za maendeleo in long term plan, angalia machinga walilia Dodoma,waulize leo wanasemaje.
In short anajitahidi sana ukiangalia na hali ya Dunia kiuchumi inavyokwenda. Atashinda kwa nguvu zote hata huko usukumani.
Hakuna wakutoa hukumu kima wewe, enzi za huyo mchawi wizi ulikua mara 100.Tindo nadhani wewe kama siyo una tatizo binafsi basi una chuki binafsi. Enzi za Dkt Magufuli huu ujinga usingetokea kwanza bwawa la Mwl Nyerere lingekuwa limeshakamilika. Sasa wana ongeza invoice kwa kuchelewesha mradi ili hela ya kuila iongezeke na 10%. Usidhani watanzania ni wajinga, wana take a note na kuweka moyoni wakisubiri hukumu 2025, na utaona jinsi ambavyo Rais Samia atahaha na kuhangaika na asipokaa makini atashindwa.
Kinachomuangusha Rais Dkt Samia vijijini ni (1) mfumuko wa bei (ingawa wakulima wanafurahia kuwa wanauza mazao kwa bei kubwa); (2) kuhisiwa kutokana na kauli zake alishiriki kumuua Dkt Magufuli na kuhisiwa anahakikisha kila alichoanzisha Dkt Magufuli kinakufa (umeme wa REA, etc). Hivyi vitu viwili na vingine ni kikwazo kikubwa sana kwa Dkt Samia. Tena hata mijini wenye vipato vya chini hawampendi kabisa wanahisi kauli zake zinaashiria kifo cha Dkt Magufuli ana mkono wake (kuungana na Kigogo 2014, kuungana na akina Ayatola Zito ambao walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli etc). Hivyo Rais Dkt Samia tumsaidie kwa kumueleza ukweli isije fika maji ya shingo then tuanze kuhangaika kama JK 2010.Nakuhakikishia approval ya Samia imepanda Sana. Na itapanda mara dufu hadi kufikia hiyo 2025. Achana na maigizo, tembea mikoani au fuatilia taarifa za habari. Samia vijijini amewekeza sana sana sana hasa kwenye miradi ya maji, afya na elimu. Hana mfanowe. Samia anajibu kero za maendeleo in long term plan, angalia machinga walilia Dodoma,waulize leo wanasemaje.
In short anajitahidi sana ukiangalia na hali ya Dunia kiuchumi inavyokwenda. Atashinda kwa nguvu zote hata huko usukumani.
Wewe wala hakuna anayekushangaa una chuki kali na ya kutisha kwa Magufuli kwako hajuna jema lolote kwakeUjinga mtupu, tatizo la kukatika kwa umeme lilianza miezi michache kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2020. Tuna kumbukumbu ya kutosha kuhusu tatizo hilo. Hao waliomtaja labda ni sukuma gang. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Naona wakalia ukuni wa kengeza mbowr mpo kibao, nambie leo alitumia mkongo au viagra ya ubelgiji?? Maana lichama la masenge masenge na mauza madawa ya kulevyaHakuna wakutoa hukumu kima wewe, enzi za huyo mchawi wizi ulikua mara 100.
Elezea kisa achana na kuwataja hayati na sio Marehemu! Heshima majina.View attachment 2578766
Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.
Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.
Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo!!! Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa....wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja...
Kwa Nini isiende kutua Dar ambazo ni Kituo cha pili Baada ya KIA??Walimtaja " Mtanikumbuka"
Sina haja ya kuandika sana. Alisrma mtanikumbukaUjinga mtupu, tatizo la kukatika kwa umeme lilianza miezi michache kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2020. Tuna kumbukumbu ya kutosha kuhusu tatizo hilo. Hao waliomtaja labda ni sukuma gang. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Tusubirie treni ya umeme inakuja!View attachment 2578766
Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.
Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.
Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo!!! Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa....wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja...
Umeme hata Dar es unakatikatikaSi wangekuja Dar au Mwanza, entebe wameenda kufanya nn? Fitna tuu mama aonekane haupigi mwingi. Hii ni kazi ya timu mwendazake hii. Alisikika kada mmoja
Hivi ni kwanini mtu akimsema vibaya Hayati anaonekana anamchukia?Mkuu una chuki sana na Mzee Magu sijui kwanini?
Hayo yamejaa huko kwenu CCM!! Kuanzia top wa chama chenu michezo yake si unaijua? Tukija kwako we kima kibuyu hapo una bwawa linanuka balaa kwa kujaziwa mimate.Naona wakalia ukuni wa kengeza mbowr mpo kibao, nambie leo alitumia mkongo au viagra ya ubelgiji?? Maana lichama la masenge masenge na mauza madawa ya kulevya