Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe


Vyombo vya dola wana ujanja gani, wanatii atakacho rais maana ndio muajiri namba moja. Kwa katiba hii chombo cha dola utake usitake utafuata atakavyo rais na genge lake. Mbegu mbaya aliyootesha dhalimu itatumika na wote.
 
Unadhani hajui kinachofanyika...
 
Dogo upo...kama tatizo ni mvua wenzetu wamefanyia marekebisho nini?
 
Hata usafiri wa basi una uhakika kuliko ndege za Tz.
 
Jana tulishindwa kutua KIA kwa tatizo hilihili ikabidi tukatue Nairobi.

Tumekaa pale zaidi ya saa nne ndio tukarudishwa tena baada ya kurekebisha.

Ilikuwa Precision Air. Leo imeroga tena!!? 😳
SABOTAGE HII YA WAZIWAZI HII, SI BURE KUNA ANAYETAKIWA KUTIMULIWA, POLE RAIS WETU UNAPIGWA KOTE KOTE, POLE SANA.
 
Mzee Mwanakijiji mimi ni Mwanafunzi wako kupitia makala zako fikirishi za kisiasa na kijamii.Lakini siku hizi sioni makala zako humu Mzee,nimejifunza sana Ujenzi wa hoja na mpangilio wako wa uandishi.
Huyo Mwalimu wako unayemzungumzia hayupo kwenye Dunia yetu siku hizi ...alizikwa na Jiwe kulee Chato
 
Inasemekana aliuawa na unahitajika kufanyika uchunguzi hata kama ikichukua miaka 100 lazima hawa marehemu waliohusika waje washitakiwe
 
Hakuna mvua iliyonyesha Kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Bali mvua zinanyesha maeneo mengine. Tatizo ni Tanesco
 
Samahani kiongozi sahau kuhusu kushindwa CCM kwenye nchi hii.pambana na vitu vingine sio ccm.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…