Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

Si ndio unatakiwa uje sasa. Kwa jinsi ulivyopanick naona unatamani jf isiwepo. Vumilia tu mfuasi wa dhalimu maana hapa tunaweka rekodi sawa.
Na record ziko sahihi. Enzi hizo unaokota maiti kwenye viroba tu. Kwa sasa safi kabisa baridi.
 
KIA BORA IRUDISHWE IWE CHINI YA TAA YA BWANA MUSA MBURA. ANAPIGA KAZI SANA. BORA KABISA IRUDI TAA.
 
Huo Uwanja una matatizo ya Generator umeme ukikatika nadhani wana magenerator ya kuunga unga sana sijaelewa kwa nini Uwanja wa Kimataifa kuwa na mambo kama wa Local...
 
Nchi ipo kwenye flight mode.

Mambo serious hakuna reactions za kuwajibishana ila mambo ya kijinga ndo wanaibuka.

Kuna DC alitenguliwa immediately kisa igizo la utayari uwanjani.

Mamlaka za anga za kimataifa au kikanda ziufungie huo uwanja wa KIA umekosa vigezo kwa flights za kimataifa ili akili zikae sawa.
 
Serikali inatakiwa ipanue uwanja wa Arusha ufikie hadhi ya kimataifa
 
Adam Lusekelo (ŔIP), once nicknamed ATC as an any time cancellation flight🤣🤓😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…