peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
1. January makambaViongozi Wapo
2. Riziwani Kikwete
3. Jenesta Mhagama
4. Mwigulu Nchemba
5. Doto Biteko
6. Samia Suluhu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. January makambaViongozi Wapo
NdiooooooHilo utajua ww, ili mradi dhalimu yuko jehenamu kwangu kila kitu ni poa tu.
Na record ziko sahihi. Enzi hizo unaokota maiti kwenye viroba tu. Kwa sasa safi kabisa baridi.Si ndio unatakiwa uje sasa. Kwa jinsi ulivyopanick naona unatamani jf isiwepo. Vumilia tu mfuasi wa dhalimu maana hapa tunaweka rekodi sawa.
Uko makini na taarifa zako ziko makini.[emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu, leo utatapika hizo Balimi ulizonyweshwa na mabasha wa ilemela. Utajuta kumsujudia dhalimu.
Unatoa vidonge madawa.Unavyomwaga matusi ni dalili kuwa umepanick kinoma. Na mangiri wa sampuli yako huwa nawamudu vibaya. Nasema hivi, utatulia tu mfuasi wa dhalimu safari hii.
Anarusha miguu ya mwisho mwisho tuNasema hivi, mfuasi wa udhalimu nishakutoa nje ya mchezo, hapa umebaki kumwaga matusi tu.
Uko makini mnoooMimi na mke wangu.
NdiooooooUmemaliza kila kitu ktk hii comment. Sukuma gang wamekuwa ni watu wa kusubiria hitilafu na matatizo madogo madogo ili wamuinue legacy wao
KIA BORA IRUDISHWE IWE CHINI YA TAA YA BWANA MUSA MBURA. ANAPIGA KAZI SANA. BORA KABISA IRUDI TAA.Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway.
Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours.
Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo.
=======
UPDATES;
=======
Alipotafutwa kutoa ufafanuzi juu ya taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa Kia (KADCO), Christine Mwakatobe amesema amesikiliza swali kisha akasema yupo kikaoni na kukata simu.
Hata alipotafutwa baadaye kwa kupigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa maandishi (SMS) hakutoa ushirikiano.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amethibitisha Taa za njia ya ndege zilizima kuanzia saa moja Usiku hadi saa tano Usiku kutokana na Mvua nyingi zinazoendelea kunyesha na kuathiri miundombinu.
Ndege iliyokuwa itue muda huo, ililazimika kwenda kutua Entebbe Nchini Uganda.
Hakuna abiria hata mmoja aliyetelekezwa na na Wote watarudi Tanzania.
Ameongeza Uwanja wa KIA baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi kama kawaida.
View attachment 2578583
View attachment 2578472View attachment 2578473View attachment 2578474View attachment 2578475
Kwani hawapo hapo KIA ?Mkiambiwa muajiri flight operators/dispatchers hapo KIA mnagoma mnataka marubani tu....kuleni mlichopanda
icho kiwanja hakiko chini ya mamlaka ya viwanja vya ndege(TAA) kipo chini ya KADCo na sijui kwann serikali haitaki kukiweka chinibya TAAHii mamlaka za viwanja vya ndege imeshindwa kazi kama vile kada ya ualimu nchiini kwetu
ivi hii kampuni ya KADCO ilikua ya kina nani na kwann kisiwe chini ya mamlaka ya viwanja vya ndege kuna shida gani kukihamishaKIA BORA IRUDISHWE IWE CHINI YA TAA YA BWANA MUSA MBURA. ANAPIGA KAZI SANA. BORA KABISA IRUDI TAA.
Hawapo kabisaKwani hawapo hapo KIA ?
Unatuletea habari za 'inasemekana' watu na akili zetu timamu!!?Inasemekana aliuawa na unahitajika kufanyika uchunguzi hata kama ikichukua miaka 100 lazima hawa marehemu waliohusika waje washitakiwe
Serikali inatakiwa ipanue uwanja wa Arusha ufikie hadhi ya kimataifaWanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway.
Precison iliyotoka Dar jioni hii imekua re routed to Nairobi as we speak, wameambiwa matengenezo might take up to 5 hours.
Wahusika changamkeni kurekebisha tatizo.
=======
UPDATES;
=======
Alipotafutwa kutoa ufafanuzi juu ya taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa Kia (KADCO), Christine Mwakatobe amesema amesikiliza swali kisha akasema yupo kikaoni na kukata simu.
Hata alipotafutwa baadaye kwa kupigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa maandishi (SMS) hakutoa ushirikiano.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amethibitisha Taa za njia ya ndege zilizima kuanzia saa moja Usiku hadi saa tano Usiku kutokana na Mvua nyingi zinazoendelea kunyesha na kuathiri miundombinu.
Ndege iliyokuwa itue muda huo, ililazimika kwenda kutua Entebbe Nchini Uganda.
Hakuna abiria hata mmoja aliyetelekezwa na na Wote watarudi Tanzania.
Ameongeza Uwanja wa KIA baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi kama kawaida.
View attachment 2578583
View attachment 2578472View attachment 2578473View attachment 2578474View attachment 2578475
Watapanulia wapi? Labda wabomoe gereza la kisongo kupata eneo la kutoshaSerikali inatakiwa ipanue uwanja wa Arusha ufikie hadhi ya kimataifa
Adam Lusekelo (ŔIP), once nicknamed ATC as an any time cancellation flight🤣🤓😎Wanabodi, hii imetokea jioni hii, mpaka sasa ndege zimeshindwa kutua KIA, chanzo kikiwa kutokufanya kazi kwa taa za runway.