Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

Tindo nadhani wewe kama siyo una tatizo binafsi basi una chuki binafsi. Enzi za Dkt Magufuli huu ujinga usingetokea kwanza bwawa la Mwl Nyerere lingekuwa limeshakamilika. Sasa wana ongeza invoice kwa kuchelewesha mradi ili hela ya kuila iongezeke na 10%. Usidhani watanzania ni wajinga, wana take a note na kuweka moyoni wakisubiri hukumu 2025, na utaona jinsi ambavyo Rais Samia atahaha na kuhangaika na asipokaa makini atashindwa.
 
Mkuu una chuki sana na Mzee Magu sijui kwanini?
 
Rais gani atahaha kwenye uchaguzi? Kwa taarifa yako Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Rais anaamua nani atangazwe mshindi, na yeye anaamua atangazwe mshindi kwa kura ngapi. Dhalimu alidhibitisha hili.

Bwawa gani lingekuwa limeshakamilika, kama alisema reli ya SGR kipande cha Dar-Moro kingekuwa kimekamilika hadi Dec 2019, lakini hadi anaelekea jehenamu ilikuwa ni story. Hakuna mtu alikuwa muongo kama dhalimu. Yule alisema chini ya utawala wake amejenga viwanda 4,000+, wakati ulikuwa ni uongo wa wazi. Je umesahau ule uongo wa 50m kila kijiji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…