Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

View attachment 2578766

Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.

Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.

Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo!!! Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa....wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja...
CAG kasema pia uwanja wa Benjamin Mkapa hauna mifumo sahihi na salama ya Taa.
 
jitu linaiba na tunalijua na bado tunaliacha linazurura na kuendelea kula kodi za raia.

hawa watu hawana huruma na hatupaswi pia kuwa na huruma nao na kuwaza kitu kinaitwa demokrasia na haki za binadamu BALI ADHABU YAO NI KUWAUA TU NA KUPOTEZA MIILI YAO HUKU TUKIFILISI FAMILIA ZAO.
Jitu gani Kwa mfano
 
View attachment 2578766

Ndege ya KLM kutoka Amsterdam imeshindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA masaa machache yaliyopita na kusababisha watalii na watu wengine karibu 150 kushindwa kuingia nchini.

Ndege hiyo ililazimika kwenda kutua Entebbe ambako taa zilikuwa zinaangaza kwa manjonjo yote. Pamoja na watu wazima wengi ndege hiyo imebeba wamama wajawazito, watoto na wazee ambao sasa wanahangaika kutafuta usafiri wa haraka.

Haieleweki tatizo ni taa au umeme au upepo!!! Kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu Mpendwa....wakionesha kusikitishwa na Tanzania kuzidiwa na umeme wa Jinja...
Yaan unasema wamemtaja Marehemu gani vile😁😁😁 Mzee Heshima Yako ilishapotea Kwa upuuz kama huu! Watalii wamtaje Marehemu ...! Afu hao Watalii Wazee,wajawaziti na watoto umewatoa wapi!
 
Gerson Msigwa alisema “baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi kama kawaida.”
mchakato unaweza kuanza shida Tz hadi muone watu na hekaheka ndio mnaamini marekebisho yameanza heshimuni taaluma
 
Ujinga mtupu, tatizo la kukatika kwa umeme lilianza miezi michache kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2020. Tuna kumbukumbu ya kutosha kuhusu tatizo hilo. Hao waliomtaja labda ni sukuma gang. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Sasa Sukama gang linaingiaje hapo?? MBONA UNATOA POVU JINGI
 
Suali ni kwanini uwanja wa ndege wa kimataifa uwe na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara?

Uwanja wa ndege wa KIA.

Yaani hii ni aibu sana aisee.
Sasa mkuu hilo swali ni nani anaulizwa?

Kwasababu nimeweka maneno ya Gerson Msigwa Kama mtoa jibu kuwa baada ya kufanyiwa “marekebisho”, sasa uwanja unafanya kazi kama kawaida. Na hiyo ni jana.

Unadhani Msigwa atatoa jibu jingine kuhusiana na swali lako?
 
Rais gani atahaha kwenye uchaguzi? Kwa taarifa yako Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Rais anaamua nani atangazwe mshindi, na yeye anaamua atangazwe mshindi kwa kura ngapi. Dhalimu alidhibitisha hili.

Bwawa gani lingekuwa limeshakamilika, kama alisema reli ya SGR kipande cha Dar-Moro kingekuwa kimekamilika hadi Dec 2019, lakini hadi anaelekea jehenamu ilikuwa ni story. Hakuna mtu alikuwa muongo kama dhalimu. Yule alisema chini ya utawala wake amejenga viwanda 4,000+, wakati ulikuwa ni uongo wa wazi. Je umesahau ule uongo wa 50m kila kijiji?
Wewe akili zako ni sawa na kum ya mama yako tu!! Hujitambui
 
Back
Top Bottom