Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
mchakato unaweza kuanza shida Tz hadi muone watu na hekaheka ndio mnaamini marekebisho yameanza heshimuni taaluma
Ni marufuku kwa uwanja wa ndege kukosa umeme yatakiwa kuwa na kitu chaitwa "resillience".
Umeme ukikatwa mara kwa mara kwanza waharibu operations za uwanjani kuanzia nje hadi ndani kwenye kuscan.
Yaani umeme ukirudi shughuli kama za scanning yabidi kurudiwa.
Viwanja vyetu vya kimataifa vyahitaji umeme ulo imara usokatika mara kwa mara.