Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

Mama amehangaika na royal tour, mamlaka zilizo chini yake zinamkwamisha. 150 ni idadi kubwa.
 
Si wangekuja Dar au Mwanza, entebe wameenda kufanya nn? Fitna tuu mama aonekane haupigi mwingi. Hii ni kazi ya timu mwendazake hii. Alisikika kada mmoja
Mkuu... KLM kwa Tanzania wana operate KIA.. Zanzibar na Dar
Kuna route Amst - KIA - Zenj . Pia kuna Amst - KIA - Dar na wanayo Amst -KIA - Ent..
Ndege ya leo ilikuwa ni njia ya Entebbe kupitia KIA
 
Asante kwa kuweka records vyema?
 
Mzee Mwanakijiji mimi ni Mwanafunzi wako kupitia makala zako fikirishi za kisiasa na kijamii.Lakini siku hizi sioni makala zako humu Mzee,nimejifunza sana Ujenzi wa hoja na mpangilio wako wa uandishi.
 
Kwa nini hawakwenda Dar au Nairobi??
 
Wewe acha kujifariji nyie Watanzania ni wajinga,tena sio wajinga tu bali tu bali matahira.

Mfumo wa kiutawala wa hii Nchi hata wakiaamu Kingwendu ndio agombee urais kwa bandera ya CCM anashinda.
 
Ni Tanzania pekee ambapo utakuta jambo la maana limejaa vituko vya kijinga kulikoni kuonyesha kukerwa na upuuzi wa viongozi wao!

Ukweli unaotukanwa na usiopendwa na wapumbavu ni huu! JPM ameonyesha namna inavyotakiwa nchi hii kuongozwa, na upumbavu wa hao wezi na wazembe wa nchi hii ulielekea kukoma!
 
MwanaKijiji tunakujua mara baada ya Magufuli kuchukua Urais ulikuwa timu Magufuli,so punguza shombo.
 
kuhisiwa anahakikisha kila alichoanzisha Dkt Magufuli kinakufa (umeme wa REA, etc). Hivyi vitu viwili na vingine ni kikwazo kikubwa sana kwa Dkt Samia
Hivi nyie sukuma gang mbona mngekuwa na akili visoda hivyo? Mkiwa tumboni mlikuwa mnalishwa, how comes mtu anayejua kuandika hapa JF akawa na akili fivyu hivi? REA ilianzishwa 2005 na kuanza utekelezaji wake 2007, unapata wapi akili za kusema REA ilianzishwa na Magufuli??

Hizo hearsay hakuna mwenye habari nazo. Kila mmoja anajua Ulinzi wa JPM ulivyokuwa kiasi hakuna mtu atakayekuelewa kusema eti JPM ameuliwa. Tembea vijijini uone, hakuna mtu anayesikitikia hayo unayosema. Kilio kikubwa kwa wananchi ni mvua kutonyesha kwa plan iliyozoeleka. Sasa sjui Samia ana nguvu gani kuilazimisha mvua kunyesha kwa matakwa yetu.
 
Magufuli mwenyewe alikuwa mwizi,sasa uliona wapi mwizi amkalipie mwizi mwenzake.

Rais pekee ambaye alikemea wizi na yeye hakuwa mwizi ni Nyerere pekee,hao wengine wote sijui Mkapa,Kikwete,Magufulu,Mwinyi wote majizi matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…