Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
Nioneshe Maulid kwenye Qur an ,nikuoneshe mmasi mwenye besiDini ni utamaduni tu , kuna ngoma flani za asili ya Omani niliona wanacheza kwa mtindo huo, nikama nyimbo za Catholic noten zake zina asili ya nyimbo za asili za kilatini .
Hii ni kama tu jinsi yesu hakuwah kuwa mkristo , alipokufa ndio watu wakaona waanzishe hiyo imani ya ukristo, na hivyo hivyo kwa mtume wa waislamu wa kishia mtume wao alipo kufa wakaona waadhimishe kumbukumbu yake ya kuzaliwa ni happy birthday ya mtume wao tu .Nioneshe Maulid kwenye Qur an ,nikuoneshe mmasi mwenye besi
Wasema mziki ni halamuPraise za kiislam hizo..nyimbo za kusifu hizo
Kwahiyo haipo kwenye part ya ibada zao sio?Style Tu wametunga kunogesha/kuburudisha
Hapo sasa hata mimi nashangaaWanasemaga mziki ni haramu lakini ajabu huo wanaocheza hapo sijui ni mnini...!
Haipo hiyoKwahiyo haipo kwenye part ya ibada zao s
Inawezekana hiyo vidio imetengezwa na AI ili kukashfu dini ya mtume SW.Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
View attachment 3297494
Hapo wameitoa wapi?Haipo hiyo
Wewe unaishi wapi? Ndo mara yako ya kwanza kuona?Inawezekana hiyo vidio imetengezwa na AI ili kukashfu dini ya mtume SW.
Vinginevyo wajuvyi halisi watusaidie.
Kwenye Mila na desturi za kiarabu! Uislam & uarabu damu damuHapo wameitoa wapi