🤣🤣Hii ni kama tu jinsi yesu hakuwah kuwa mkristo , alipokufa ndio watu wakaona waanzishe hiyo imani ya ukristo, na hivyo hivyo kwa mtume wa waislamu wa kishia mtume wao alipo kufa wakaona waadhimishe kumbukumbu yake ya kuzaliwa ni happy birthday ya mtume wao tu .
Sio nyimbo ya kitamaduni hii?!Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
View attachment 3297494
Hapa Tanzania kuna utamaduni gani wa kuvaa kanzu?Sio nyimbo ya kitamaduni hii?!
Huwa naona hata Shekhar mkuu wao anacheza Dufu mkuuHuo ni utamaduni wa hao watu tu
Bora hao umewaona hawaSina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
View attachment 3297494
Bora hao umewaona hawa
Wanaitwa DUFU MZIKI MOTO INGIA YOUTUBE UTADATA
View: https://youtu.be/aVbuNMUZLgU?si=XnAiBcn_wYrs7UX1
Waache sisi kuleta ushahidihttps://youtu.be/K8LCqXq4PyM?si=rXUP2hHTGFssv0w-Tatizo la waislamu huwa wana kana wenzao wanasema sisi hatuwatambui wala kuwajua.
Kuna ustadh alifirimba watoto humuhumu walimkana asee