NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Anajitaidi kwa kweli huwezi fananisha na zile live show za escape one
 
Mandojo na Domokaya, vile vichwa vilikua ni hatari tupu!! hiyo ngoma ya wanok nok inanikumbusha sana mbali man, nilichoka kuisikilizia kweny radio nikaamua kununua album yao kabisa!! nimewamis sana wale machalii!!

mkuu hivi vichwa hatar tumevipoteza nawakubali sna hawa mi ngoma yao ya dingi ile ngoma haina mfano mzee akimaliza kula sifuria anazitia msumali
 
Kwa kweli jide hana mvuto wa kike asingekua super star huyu angekua beki 3 na kuolewa ingekua ni hadithi..kwa sisi tuliozea kungoa watoto wakali kwa jide net aisomi ingekua ni simu mwezi wa 6 ingezimwa..
 
Anachonifurahisha jidee anaimba mwenyewe lakini wasanii wengi wa bongo ukienda kwenye show zao wanaleta habari za kuimbishana utasikia tuimbe wote utafikiri nimelipa hela kuja kuimba

hahahahaha balaa mkuu
 
Kwa kweli jide hana mvuto wa kike asingekua super star huyu angekua beki 3 na kuolewa ingekua ni hadithi..kwa sisi tuliozea kungoa watoto wakali kwa jide net aisomi ingekua ni simu mwezi wa 6 ingezimwa..

Umemuonaje mkuu.. Mbona late sana... Huku unafanya nini kama hauvutiwi!!?
 
Kwa kweli jide hana mvuto wa kike asingekua super star huyu angekua beki 3 na kuolewa ingekua ni hadithi..kwa sisi tuliozea kungoa watoto wakali kwa jide net aisomi ingekua ni simu mwezi wa 6 ingezimwa..

kil mmoja anawake wa kumliwaza usifanye mzaha na uumbaji wa mungu
 
Kwa kweli jide hana mvuto wa kike asingekua super star huyu angekua beki 3 na kuolewa ingekua ni hadithi..kwa sisi tuliozea kungoa watoto wakali kwa jide net aisomi ingekua ni simu mwezi wa 6 ingezimwa..
We jamaa bhana uzuri na kuimba wapi na wapi ingekuwa hivyo kim kardishian angekuwa fundi zaidi ya tyalor swift
 
Anachonifurahisha jidee anaimba mwenyewe lakini wasanii wengi wa bongo ukienda kwenye show zao wanaleta habari za kuimbishana utasikia tuimbe wote utafikiri nimelipa hela kuja kuimba
itakua ni zile za "kwa niaba ya wana......17years
 
Back
Top Bottom