Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

Misri nayo imeshauli pale magaidi ya hamas yamalizwe na yasiwe na jeshi kabisa israel ameshauriwa na waislam wenye akiki zao wafute vimelea vyote vya hamas
Hamas ikiwa kama kundi teule hakuna wakuifuta
Labda Mungu pekee ila sio hii israhell mnayodai ilishinda vita ya siku sita
Halag leo mtake aifute hamas inayokaa eneo lenye ukubwa wa viwanja vitatu vya mpira tena wa chandimu
 
Hamas ikiwa kama kundi teule hakuna wakuifuta
Labda Mungu pekee ila sio hii israhell mnayodai ilishinda vita ya siku sita
Halag leo mtake aifute hamas inayokaa eneo lenye ukubwa wa viwanja vitatu vya mpira tena wa chandimu
Sasa hizi lwakubalu na mnazo lialia nini mpaka sasa magaidi 26000 yameuliwa pale gaza ni 1% ya magaidi yameuliwa
 

IDF wamesuka mkakati wa kukalia pale muda mrefu, maana mpaka upasafishe inabidi kutumia mabavu kwa mwaka na zaidi.
 

Ndio mjifunze siku nyingine, Mzayuni ni mtu hatari, katili wa mwisho, inapaswa ukiskia hilo jina linatajwa mahali yaani hata kama una mimba unaachika, hawa sio Wakristo ambao mabwana zako wamezoea kupelekea shobo, hawa ni Mazayuni....khatari bin hatari.... kaa mbali nao, hawajui mtoto wala bi kizee kama wewe, wanafumua tu maana wanaamini nyote ni magaidi.
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Inasemekana zaidi ya wanajeshi 900 wa kizayuni wameuliwa.Ama kweli usicheze na allah
 
Mr Uharo.
 
Unapingana na Faiza?
 
Hamas wameizingira Israel wanachakaza balaa
 
Jana maaskari 3000 wa US wamedonyolewa na wana muqawama
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Lazima utakua na damu ya kiarabu upande wa ujombani.
 
Israel wanaomba msaada kutoka Nato hawasaidie kuishambulia Yemen mashoga kweli😂 wapeleke ndege zao Yemen waome kama zitarudi wao wanapigana na watoto na wagonjwa na majengo.
 
Leo nimesoma kwenye aljazeera kwamba Israel wana plan ya ku pump maji ya bahari humo kwenye hizo tunnels...hammas wote watoke humo ndani, ila tatizo ni mateka wa Israel ambao inaaminika wameshikiliwa humo.
 
Hahaha naona mnajiliwaza na kujifariji vita ndiyo vinaanza mabwana zenu kila siku wapo msibani.
 

Attachments

  • IMG_7382.jpeg
    79 KB · Views: 2
  • IMG_7380.jpeg
    63.9 KB · Views: 2
Acha kupotosha watu wewe. Ni kweli,Wanajeshi wa Israel karibu 70% wameondoka Kaskazini mwa Gaza kuelekea Kusini mwa Gaza. Kaskazini mwa Gaza ndio Kuna Mji wa GAZA CITY,Huko kazi imekamilika. Mji umesambaratishwa na umebaki Magofu tu. Miundombinu ya Mahandaki ya Hamas imesambaratishwa yote. Mpaka Sasa,Israel imegundua Mahandaki 800 na Kati ya hayo,500 yapo Kaskazini mwa Gaza ambapo kazi ya kuyasambaratisha imekamilika. Yamebaki 300 ambayo yapo Kusini mwa Gaza kwenye mji wa Khan Yusin. Sasa Israel imehamishia Vita Huko make kule Kaskazini kazi imekwisha. Wamebaki Wanajeshi wa IDF wachache ambao wanalinda Usalama ndani ya Mji huo.

Sasa hivi Vita imehamia Kusini kwenye mji wa pili kwa ukubwa wa KHAN YUNIS ambao mashambulizi Ni makali Sana. Ndege za IDF zimedondosha vipeperushi kwenye mji huo kuwataarifu raia kuhamia kwenye Mahema kandokando ya Bahari ambapo hakina huduma ya umeme,maji Wala Chakula.

Kwahiyo usidanganye watu eti IDF imekimbia Kaskazini mwa Gaza Bali imehamisha mashambulizi yake kule Kusini. Hakuna Wanajeshi waliorudishwa Nyumbani. Wanahama Gaza kutoka eneo Moja kwenda eneo jingine.
 
Mnashikiwa akilo kweli nyiie mapunguani hayo mahandaki umeyona kwenye TV? Mashambiulizo makali wanashambulia shule na hospital pamoja ambulance, majengo, watoto, nikuulize kama Gaza yote ipo kwa Israel vipi mateka zaidi ya 159 wako wapi?
 
Afu nimewambia hapa wanabisha wanajeshi wa Israel wamepata maradhi wanajiharia hovyo pale Gaza


View: https://youtu.be/AhwpRj5utgQ?si=i0KOZnk7TgktKpSk
Hizi habari huwezi kuziona CNN, FOX NEWS au BBC.
The diaper memes are coming true!

Who prayed for our troops to get humiliated like this?

Dr. Tal Brosh, Director of the Infectious Diseases Unit at Assuta General Hospital in Ashdod, said, "Diarrhea spread among soldiers in the south, and in their various areas of concentration, and then it spread among soldiers who went to combat in Gaza," and "We diagnosed infections with the Shigella bacteria." Which causes dysentery, a very dangerous disease that has spread among fighters in Gaza. The doctor added that the outbreak of these diseases has consequences on the condition of soldiers and the conduct of combat operations.

He said: "If the infection spreads among 10 soldiers in an infantry company, and they develop a fever after their temperature reaches 40 degrees Celsius, and they start having diarrhea every 20 minutes, then they are no longer fit." To fight, they expose themselves to the risk of death."

Source: Israeli newspaper Yedioth Ahronoth
 

Attachments

  • IMG_7434.jpeg
    69.6 KB · Views: 3
Israel wanaomba msaada kutoka Nato hawasaidie kuishambulia Yemen mashoga kweli😂 wapeleke ndege zao Yemen waome kama zitarudi wao wanapigana na watoto na wagonjwa na majengo.
Yemen maskini wakubwa hata sie tuna nafuu, hamna kitu pale.
Kasome historia waliwahi kukung'utwa na Israel hadi leo uchumi wao haujaweza kusimama...wale wamebaki kula mirungi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…