Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
[emoji38][emoji38][emoji38]Jamaa watata sana. Mnaweza kuwa fresh tu mnapiga stori kikawaida tu mara ukashangaa ngumi za maana zinapishana hewani, out of nowhere!Wakurya bado wana ubabe wa kishamba sana
Watani/ndugu zetu wa Mara hawana ushirikiano na kuendeleza mkoa wao. Wana wasomi wengi sana lakini hawana umoja wala mpango kuendeleza mkoa.Ushawishi tu wa watu wa Bukoba. Kuanzia na wabunge, mawaziri nk.
Huoni Malinzi tu mkuu wa TFF alihakikisha Bukoba inapata uwanja wa kisasa wa mpira kaitaba siku hiz unasaport hadi mechi za usiku
Wakurya na wameru haya makabila wanaume wakorofi watata sana[emoji38][emoji38][emoji38]Jamaa watata sana. Mnaweza kuwa fresh tu mnapiga stori kikawaida tu mara ukashangaa ngumi za maana zinapishana hewani, out of nowhere!
Hussein sokoni alishafariki ila vijana wake nazani Bado wapo japo Kuna wengine walihamia mwanza,Kuna mfanyabiashara walikua wanamuita hussein sokoni naimani kabisa kama yuko hai bado ni yuleyule anawakimbiza
Ndio mnaonja hayo kwa mara ya kwanza Ishomire?Watani zao Bukoba. Wako wanaijenga barabara ya njia nne km 5, stendi mbili mpya, bandari ya Bukoba inapanuliwa, uwanja wa Bukoba unawekewa control tower, shopping complex mpya nk.
Kimsingi Bukoba inabadilika sana siku hiz.
Dah kumbe alishafariki basi Hussein sokoni kaacha Legacy siyo mchezo mchezo kabisa huko Musoma , jamaa jina lake lilikua kwenye midomo ya watu wengi sana ni mfanyabiashara aliewapelekea vitu vizuriHussein sokoni alishafariki ila vijana wake nazani Bado wapo japo Kuna wengine walihamia mwanza,
Mji ukikosa wachaga na wanyantuzu hauwezi kuendelea.Katika mji ambao sijawahi kuuelewa ni Musoma, mji umekata tamaa miaka yote kama uliwahi kwenda mwaka 2004 na ukatembea tembea ukirudi tena baada ya miaka 20 mwaka huu 2024 utakuta pako vile vile hakuna maendeleo ya maana mji haubadiliki
Mkurya akishika panga kimbia, atakuchanachana kisha akimbilie Kenya huko.[emoji38][emoji38][emoji38]Jamaa watata sana. Mnaweza kuwa fresh tu mnapiga stori kikawaida tu mara ukashangaa ngumi za maana zinapishana hewani, out of nowhere!
Na hili linaanzia ngazi ya familia/koo umoja ushirikiano hakuna tofauti na makabila mengine kama wasukuma,wahaya,wachaga,n.kWatani/ndugu zetu wa Mara hawana ushirikiano na kuendeleza mkoa wao. Wana wasomi wengi sana lakini hawana umoja wala mpango kuendeleza mkoa.
Wasomi hawajengi mkoa hata siku moja ,kwa sababu wengi ni waajiriwa .Watani/ndugu zetu wa Mara hawana ushirikiano na kuendeleza mkoa wao. Wana wasomi wengi sana lakini hawana umoja wala mpango kuendeleza mkoa.
Kingine kwa Mara kuna makabila mengi. Na yote ni vi-makabila vidogo.Na hili linaanzia ngazi ya familia/koo umoja ushirikiano hakuna tofauti na makabila mengine kama wasukuma,wahaya,wachaga,n.k
Watani zako wao bado wapo zama za ujima yaani wanaishi kama binadamu wa kale yaani homo habillis kama sio homo erectus, kila kitu wanatumia nguvu badala ya akili.Watani zao Bukoba. Wako wanaijenga barabara ya njia nne km 5, stendi mbili mpya, bandari ya Bukoba inapanuliwa, uwanja wa Bukoba unawekewa control tower, shopping complex mpya nk.
Kimsingi Bukoba inabadilika sana siku hiz.
Kama kagera.Wasomi hawajengi mkoa hata siku moja ,kwa sababu wengi ni waajiriwa .
Akili za watanzania karibia wote kwa sababu ya umaskini ,hawataki kufanya kazi mikoa ya kwao .
Mji yenye wasomi mingi imebakia kuwa na idadi ndogo ya watu .
Ndio wasomi wanajenga mikoa ya watu hulo.Kama kagera.
Hahahaa Wanyantuzu kabila gani hao?Mji ukikosa wachaga na wanyantuzu hauwezi kuendelea.