Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

Kwanini mkoa wa Mara hauendelei bado upo nyuma kwenye swala la viwanda?

  • Kwa walio fika MSM ulivutiwa na nini?

  • Mpangilio wa mji

  • Style ya maisha na ukarimu wao

Results are only viewable after voting.
Kama watu wenyewe wanastaafu kwenye majeshi huko na kulowea huko huko walikomalizia kazi unategemea mji wao utakuwa wa maana? kamji kamejichokeaaaaa yaani miaka niliyopita huko na mapicha wanayoonyesha sasahivi ni vile vile wala hakuna maendeleo yoyote, kimsingi ni kamji ambacho kamechoka sana afadhali hata ya Tarime na Bunda angalau GDP zake ziko juu na angalau kuna vijimaendeleo kidogo hata kwa kuangalia kwa macho tu.
 
Katika mji ambao sijawahi kuuelewa ni Musoma, mji umekata tamaa miaka yote kama uliwahi kwenda mwaka 2004 na ukatembea tembea ukirudi tena baada ya miaka 20 mwaka huu 2024 utakuta pako vile vile hakuna maendeleo ya maana mji haubadiliki
Tatizo la musoma hakuna aridhi nzuli ya kilimo ndio maana apaendelei
 
Kwani hii Tanzania imeendelea sana mpaka unashangaa haya?
Tazama jiji la Dar ile terminal ya watu kwenda Zanzibar kama kibanda cha kuku, Tazama Barabara za masaki zilivyo.
Hii nchi Bado sana kiasi cha kuchangaa yanayoendelea Bukoba
Ninashangaa kwasababu wahaya mmejanjaruka miaka mingi hiyo shopping complex asingeshindwa tajiri moja wa Kihaya.
Kuhusu barabara siwezi kuwalaumu ni serikali
 
Mbon

Mbona Moshi yenyew pa hovyo tu. Mji haubadiliki miaka nenda Rudi. Wachagga wanakimbilia Arusha na Dar
Acha masihara wewe hivi unaweza kuifananisha moshi na musoma? Moshi ni jiji lile

Musoma imechoka sana ni kama vile imetelekezwa
 
😅😅Sema mwaka huu ,sasa Bukoba hata stendi bado mpaka mwaka 2024 ,hayo maendeleo muyatoea wapi?
Kuna nn cha maana hapo😅😅hiyo ramani ya 3D ndio inakuchanganya...Ebu weka hata uzi wa miji yenye maendeleo kama Bukoba utaona hapo
Huna hata bundle kufungua hio video. Sasa Mimi nikusaidieje Mzee wa kukurupuka. UnBisha bisha tu bila facts
 
Huna hata bundle kufungua hio video. Sasa Mimi nikusaidieje Mzee wa kukurupuka. UnBisha bisha tu bila facts
Video gani wakati wanarudia hayo maeneo 😅😅kila sehemu eti mwaka huu ndio kwanza barabara zinajengwa .

Korogwe nimefika 2020 kuna stendi kubwa sana .
 
😅😅Sema mwaka huu ,sasa Bukoba hata stendi bado mpaka mwaka 2024 ,hayo maendeleo muyatoea wapi?
Bukoba haikuwa na stendi lakini una Airport Bora kabisa, stadium nzr kabisa, mji mzima una Barabara za lami, shule kibao, hospital kibao, bandari kubwa.

Nyinyi mnajenga stendi halafu Barabara za mitaa ni ovyo kabisa mfano ni Morogoro, kigoma, singida😂 miji ina stendi nzr lakin Barabara za mitaa sasa.
Bukoba Barabara za mitaa kwanza stendi baadae. Watu hawaishi stendi
 
Bukoba kupo nyuma sana usiwe mbishi
 
Back
Top Bottom