Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

Kwanini mkoa wa Mara hauendelei bado upo nyuma kwenye swala la viwanda?

  • Kwa walio fika MSM ulivutiwa na nini?

  • Mpangilio wa mji

  • Style ya maisha na ukarimu wao


Results are only viewable after voting.
Da umenikumbusha mbali sana.wapi majita road,mkinyerero,mgalanjabho,bweri,mtakuja,buhare,nyasho mitumbani hapo.nyabange,nyakato,nimemkumbuka demu wangu salome.Iposiku nitarudi msoma.
 
Watani zao Bukoba. Wako wanaijenga barabara ya njia nne km 5, stendi mbili mpya, bandari ya Bukoba inapanuliwa, uwanja wa Bukoba unawekewa control tower, shopping complex mpya nk.
Kimsingi Bukoba inabadilika sana siku hiz.
Nikipata wasaa nitafika huko tuombe uzima tu.
 
Katika mji ambao sijawahi kuuelewa ni Musoma, mji umekata tamaa miaka yote kama uliwahi kwenda mwaka 2004 na ukatembea tembea ukirudi tena baada ya miaka 20 mwaka huu 2024 utakuta pako vile vile hakuna maendeleo ya maana mji haubadiliki
Ulisemalo ni sahihi kabisa, japo mabadiliko ni kidogo sana kwenye hili nimeshuhudia.
 
Da umenikumbusha mbali sana.wapi majita road,mkinyerero,mgalanjabho,bweri,mtakuja,buhare,nyasho mitumbani hapo.nyabange,nyakato,nimemkumbuka demu wangu salome.Iposiku nitarudi msoma.
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkoa gani ambako watu awaangaiki kupata ajira?
 
...
Huoni Malinzi tu mkuu wa TFF alihakikisha Bukoba inapata uwanja wa kisasa wa mpira kaitaba siku hiz unasaport hadi mechi za usiku
Acha uzandiki kijana, so Mkwakwani, Dodoma napo ni malinzi sababu mechi zinachezwa usiku?.

Na unajua sababu ya mechi kuchezwa usiku?

Kuna kitu unataka kudanganya ila unasahau siyo wote wanaweza kudanganywa!.
 
Watani zao Bukoba. Wako wanaijenga barabara ya njia nne km 5, stendi mbili mpya, bandari ya Bukoba inapanuliwa, uwanja wa Bukoba unawekewa control tower, shopping complex mpya nk.
Kimsingi Bukoba inabadilika sana siku hiz.
Bk hawezi badirika sababu inajengwa na serikali kinacho badirisha watu kuwafanya wawe na maendeleo ni aridhi yenye rutuba mkoa wa kagera hakuna aridhi ya kilimo mji utabadilika lakini shida za vijana azitoisha
 
Umegusa penyewe kabsa🫑
 
Kwa fedha ipi utaenda kujenga kwenu.
Mishahara hii hii ya tanzania
Labda ule rushwa ili ukafie gerezani.
Ishi kulingana na kipato chako acha kuiga na kujifananisha na watu wengine
 
Maisha ya sehemu uliyotoka yana afadhali?
 
Musoma wakurya ni wachache mno, musoma imejaa wenyeji wake wajita sehemu kubwa, wazanaki,....tarime kwa wakurya mji uko busy vizuri sana
Mkuu samahani swali nje ya mada, wazanaki wana sifa gani?
 
Mkuu samahani swali nje ya mada, wazanaki wana sifa gani?
Majisifu mengi kubeza vya wale walioweza, unakuta mtu kanunua gari ama kajenga nyumba kwa uwezo wake wenzie zao kubeza aaghh kanyumba gani kale, au kagari gani kale mi mwenyewe hata nikitaka kesho nanunua afu ukimwangalia mtu mwenyewe anatembea suruali imechanika matakoni hajui kesho anaamkaje ila anabeza aliye na uwezo wa kujenga na kuwa na usafiri wake tena sio usafiri tu yaani gari! Maana kuna usafiri, kuna chombo cha moto na kuna gari afu kuna ndinga πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚ mbona kama tabia za kihaya

Tabia za Wanawake?
 
Acha uongo ,Bukoba ipo nyuma ,unaongelea stendi ambayo hata stendi ipo tangu 2020.

Viwanja vya ndege kila mkoa vinajengwa kaangalie hapo Musoma uone ..

Ujenzi wa stendi ya Bukoba. Hapa ilikuwa January 2024. Sasa sijui wamefikia wap.
Kabla ya kubisha Fanya research kwanza
 
Ndio mnaonja hayo kwa mara ya kwanza Ishomire?
Kwani hii Tanzania imeendelea sana mpaka unashangaa haya?
Tazama jiji la Dar ile terminal ya watu kwenda Zanzibar kama kibanda cha kuku, Tazama Barabara za masaki zilivyo.
Hii nchi Bado sana kiasi cha kuchangaa yanayoendelea Bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…