Mbona Moshi yenyew pa hovyo tu. Mji haubadiliki miaka nenda Rudi. Wachagga wanakimbilia Arusha na DarMji ukikosa wachaga na wanyantuzu hauwezi kuendelea.
Wakurya hawakai MusomaWakurya bado wana ubabe wa kishamba sana
Hussein Sokoni alishafariki.Kuna mfanyabiashara walikua wanamuita hussein sokoni naimani kabisa kama yuko hai bado ni yuleyule anawakimbiza
Kuna nn cha maana hapo๐ ๐ hiyo ramani ya 3D ndio inakuchanganya...Ebu weka hata uzi wa miji yenye maendeleo kama Bukoba utaona hapoNi vzr ukabisha kwa facts sio chuki na hisia.
View: https://youtu.be/5G5OGYo5dss?si=hMAtXMoYwt8Zyjex
๐ ๐ Sema mwaka huu ,sasa Bukoba hata stendi bado mpaka mwaka 2024 ,hayo maendeleo muyatoea wapi?View attachment 2925755
Ujenzi wa stendi ya Bukoba. Hapa ilikuwa January 2024. Sasa sijui wamefikia wap.
Kabla ya kubisha Fanya research kwanza
Tatizo la musoma hakuna aridhi nzuli ya kilimo ndio maana apaendeleiKatika mji ambao sijawahi kuuelewa ni Musoma, mji umekata tamaa miaka yote kama uliwahi kwenda mwaka 2004 na ukatembea tembea ukirudi tena baada ya miaka 20 mwaka huu 2024 utakuta pako vile vile hakuna maendeleo ya maana mji haubadiliki
Surroundings za hovyo kabisa.View attachment 2925755
Ujenzi wa stendi ya Bukoba. Hapa ilikuwa January 2024. Sasa sijui wamefikia wap.
Kabla ya kubisha Fanya research kwanza
Ninashangaa kwasababu wahaya mmejanjaruka miaka mingi hiyo shopping complex asingeshindwa tajiri moja wa Kihaya.Kwani hii Tanzania imeendelea sana mpaka unashangaa haya?
Tazama jiji la Dar ile terminal ya watu kwenda Zanzibar kama kibanda cha kuku, Tazama Barabara za masaki zilivyo.
Hii nchi Bado sana kiasi cha kuchangaa yanayoendelea Bukoba
Keshafariki siku nyingi.Kuna mfanyabiashara walikua wanamuita hussein sokoni naimani kabisa kama yuko hai bado ni yuleyule anawakimbiza
Wasukuma wa Bariadi, hujiona wajanja Sana na utapeli kwa wingi. Waulize kuhusu SHIRECU.Hahahaa Wanyantuzu kabila gani hao?
Acha masihara wewe hivi unaweza kuifananisha moshi na musoma? Moshi ni jiji lileMbon
Mbona Moshi yenyew pa hovyo tu. Mji haubadiliki miaka nenda Rudi. Wachagga wanakimbilia Arusha na Dar
Bunda na Tarime kidogo kuna uhai maendeleo yapoTatizo la musoma hakuna aridhi nzuli ya kilimo ndio maana apaendelei
๐ ๐ Sema mwaka huu ,sasa Bukoba hata stendi bado mpaka mwaka 2024 ,hayo maendeleo muyatoea wapi?
Huna hata bundle kufungua hio video. Sasa Mimi nikusaidieje Mzee wa kukurupuka. UnBisha bisha tu bila factsKuna nn cha maana hapo๐ ๐ hiyo ramani ya 3D ndio inakuchanganya...Ebu weka hata uzi wa miji yenye maendeleo kama Bukoba utaona hapo
Video gani wakati wanarudia hayo maeneo ๐ ๐ kila sehemu eti mwaka huu ndio kwanza barabara zinajengwa .Huna hata bundle kufungua hio video. Sasa Mimi nikusaidieje Mzee wa kukurupuka. UnBisha bisha tu bila facts
Bukoba haikuwa na stendi lakini una Airport Bora kabisa, stadium nzr kabisa, mji mzima una Barabara za lami, shule kibao, hospital kibao, bandari kubwa.๐ ๐ Sema mwaka huu ,sasa Bukoba hata stendi bado mpaka mwaka 2024 ,hayo maendeleo muyatoea wapi?
Na BadoVideo gani wakati wanarudia hayo maeneo ๐ ๐ kila sehemu eti mwaka huu ndio kwanza barabara zinajengwa .
Korogwe nimefika 2020 kuna stendi kubwa sana .
Musoma mjini siyo eneo la Wakurya.Wakurya bado wana ubabe wa kishamba sana
Asili yao si Musoma mjini ila wapo na wanaishi.๐๐๐Wakurya hawakai Musoma
Bukoba kupo nyuma sana usiwe mbishiBukoba haikuwa na stendi lakini una Airport Bora kabisa, stadium nzr kabisa, mji mzima una Barabara za lami, shule kibao, hospital kibao, bandari kubwa.
Nyinyi mnajenga stendi halafu Barabara za mitaa ni ovyo kabisa mfano ni Morogoro, kigoma, singida๐ miji ina stendi nzr lakin Barabara za mitaa sasa.
Bukoba Barabara za mitaa kwanza stendi baadae. Watu hawaishi stendi