Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema.

Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata ziara za mara kwa mara za viongozi wa kitaifa katika nchi hizo kwa siku za hivi karibuni zinazua maswali mengi.

Kama wananchi wa Tanzania tuna haki ya kujua nini kinaendelea.
 

Bidhaa zipi?Kama huwezi kuzitaja tukujibu Kwa Kuota?
 
Unaleta habari bila ushahidi wowote halafu tukujibu!

upo serious kweli mkuu ?
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.... kuna bidhaa zina maandishi ya kifaransa basi tutakuwa tumejiunga na ufaransa kimyakimya.
 


Kama wanaleta miradi kuna shida gani hii nchi haijitaji ukabila wala ubaguzi tunahitaji maendeleo.
 
Kama wanaleta miradi kuna shida gani hii nchi haijitaji ukabila wala ubaguzi tunahitaji maendeleo.
Unasubiri miradi ikuletee maendeleo; hii ni akili ya tope kabisa!
 
Ndo mana Yule mama kafukuzwa , Case closed
 
Zanzibar iko mbioni kuanzisha mfuko maalum wa kusaidia wanaoenda Saudia kila mwaka kuhiji. Hayo ni maneno ya Mhe. Husein Ally Mwili, Rais wa Kisiwa hicho.
Hadi hapo Unahitaji majibu gani zaidi mleta mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…