Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Chawake maza jibu na hoja no 2 basi?Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.... kuna bidhaa zina maandishi ya kifaransa basi tutakuwa tumejiunga na ufaransa kimyakimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawake maza jibu na hoja no 2 basi?Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.... kuna bidhaa zina maandishi ya kifaransa basi tutakuwa tumejiunga na ufaransa kimyakimya.
Na avunjike nyonga na kalio mende huyuUshindwe na uanguke
Naona hatutakii mema huyo chawa mfanisi wa 2025
NamshangaaBidhaa zipi?Kama huwezi kuzitaja tukujibu Kwa Kuota?
Ndio mkuu tuache tu😅Mmh kuna vile vitetesi tetesi aaah au basi tuache tu
Kwamba anakomba mboga au?Mmh kuna vile vitetesi tetesi aaah au basi tuache tu
Je kwa risasi na mabomu ya Congo nayo ni kwa sababu ya nini?Kusingekuwa na tatizo kama wasingekuwa na agenda ya kusambaza dini ya kiislam kwa panga,mabomu na risasi.
Angalia hata nchi kama somalia ni waislam watupu sidhani hata kuna kanisa moja kule,ila bado kwa kuwa wana DNA na ukatili,watakuwa wamepata watu sahihi wa kuwafanyia ukatili kwa kisingizio kwamba wanataka kuwasilimisha
😂😂😂😂Kwamba anakomba mboga au?
Udini ndo unaokutesa..Kusingekuwa na tatizo kama wasingekuwa na agenda ya kusambaza dini ya kiislam kwa panga,mabomu na risasi.
Angalia hata nchi kama somalia ni waislam watupu sidhani hata kuna kanisa moja kule,ila bado kwa kuwa wana DNA na ukatili,watakuwa wamepata watu sahihi wa kuwafanyia ukatili kwa kisingizio kwamba wanataka kuwasilimisha
Kuna hoja unaweza kuona hazina mashiko kwasababu tu ya mtazamo. Na huenda hazigusi hisia zako moja kwa moja.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.... kuna bidhaa zina maandishi ya kifaransa basi tutakuwa tumejiunga na ufaransa kimyakimya.
Acha uongo wewe. Lete takwimu tuone nani waliojaa kule bungeni.Bunge wamejaa wao wakiamua linapita tu vizuri
Kwani wewe hofu yako ni nini? Hicho Kiarabu kinakuzuia nini kutumia hiyo bidhaa? Aliyekuambia Kiarabu ndiyo Uislam nani? Kiarabu ni lugha na kimekuwepo maelfu ya miaka kabla ya hata huo Uislam.Kuna hoja unaweza kuona hazina mashiko kwasababu tu ya mtazamo. Na huenda hazigusi hisia zako moja kwa moja.
Watu wenye high IQ siku zote huwa hawapuuzi hoja hata kama ni dhaifu. (They don't take things for granted)
I doubt if you are amongest of them! Jitahidi kuwa unafikiria nje ya box mkuu!😲
Kwa kifupi ni kwamba hizo zenye lugha ya kifaransa zinakuwa zimetengenezwa huko huko ufaransa (made from france) tofauti na hizi ninazoziona kwa sasa ambazo zimetengenezwa mahali kwingine, na hazikutumia lugha hiyo hapo kabla!
Hakuna mwenye hofu juu ya suala hilo. Ila kumbuka tu kwamba lugha ni mojawapo ya viashiria vya kutawala au kutawaliwa. Kujiunga na umoja wowote si tatizo, muhimu ni taarifa!
Ina uhusiano na mada?Zanzibar iko mbioni kuanzisha mfuko maalum wa kusaidia wanaoenda Saudia kila mwaka kuhiji. Hayo ni maneno ya Mhe. Husein Ally Mwili, Rais wa Kisiwa hicho.
Hadi hapo Unahitaji majibu gani zaidi mleta mada?
Amongest = amongst.... huna hoja umeandika upupu.Kuna hoja unaweza kuona hazina mashiko kwasababu tu ya mtazamo. Na huenda hazigusi hisia zako moja kwa moja.
Watu wenye high IQ siku zote huwa hawapuuzi hoja hata kama ni dhaifu. (They don't take things for granted)
I doubt if you are amongest of them! Jitahidi kuwa unafikiria nje ya box mkuu!😲
Kwa kifupi ni kwamba hizo zenye lugha ya kifaransa zinakuwa zimetengenezwa huko huko ufaransa (made from france) tofauti na hizi ninazoziona kwa sasa ambazo zimetengenezwa mahali kwingine, na hazikutumia lugha hiyo hapo kabla!
Hakuna mwenye hofu juu ya suala hilo. Ila kumbuka tu kwamba lugha ni mojawapo ya viashiria vya kutawala au kutawaliwa. Kujiunga na umoja wowote si tatizo, muhimu ni taarifa!
NdiyoIna uhusiano na mada?
😀😀Amongest = amongst.... huna hoja umeandika upupu.
Hata ukienda Ulaya na marekani au uchina bidhaa nyingi tu zimeandikwa kiarabu na lugha nyinginezo hayo ni mambo ya biashara za kimataifa !! Au nao wameshajiunga kimya kimya ??!Unaleta habari bila ushahidi wowote halafu tukujibu!
upo serious kweli mkuu ?
Ahaa, basi sawa.Hata ukienda Ulaya na marekani au uchina bidhaa nyingi tu zimeandikwa kiarabu na lugha nyinginezo hayo ni mambo ya biashara za kimataifa !! Au nao wameshajiunga kimya kimya ??!