mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hata waarabu wakristo wa Lebanon na kwineko kote duniani maandishi wanayotumia ni ya kiarabu !! Mpaka biblia yao imeandikwa kwa maandishi ya kiarabu !! Na ibada kanisani huwa inaendeshwa kiarabu !! Na majina yao mengi ni haya haya unayoyasikia kwa waarabu wakiitwa !! Kwa mfano aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Iraqi alikuwa anaitwa Tariq Aziz alikuwa ni Mkristo !! Huko Lebanon nusu ni wakristo na nusu ni waislam na wote ni waarabu na lugha wanayotumia ni kiarabu. !!Zanzibar iko mbioni kuanzisha mfuko maalum wa kusaidia wanaoenda Saudia kila mwaka kuhiji. Hayo ni maneno ya Mhe. Husein Ally Mwili, Rais wa Kisiwa hicho.
Hadi hapo Unahitaji majibu gani zaidi mleta mada?