Tigo,Airtel,Vodacom,SBC, coca-cola,tbl,Serengeti nk ni fdi,imeajiri watz,wanasomesha,wanajenga,serikali inapata Kodi,Leo watz kumiliki vyombo vya moto,nyumba nzuri,biashara kubwa ni kawaida,miaka ya 90 vyombo vya moto vilikua kwa waasia na serikali,baada ya kutengeneza mazingira ya kuvutia wawekezaji,wakaja(fdi)..watz wakapata ajira na mishahara ya kurudhisha,multiplier effect ikafanya kazi,uchumi ukatoka chini tulikokua mpaka uchumi wa kati,tusingevutia fdi tusingekua hapa Leo...kilimo Cha kufa na kupona,ambacho kiliajiri zaidi 75% kisingetufikisha hapa