Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

Siyo uwezo mdogo wa kufikiri,kabugizwa chuki dhidi ya uislam kwenye jumuiya za dini yake shuleni mpaka chuoni(Kama kajaaliwa kufika),huwa Wana hofu na waislam,baraghashia,kanzu,hijab vinawatatiza Sana kuliko dhambi zao
Lazima tutatizwe maana wavaaji ni kina Hamza.
 
Bora wazungu eti?!?
 
Ni udini unamsumbua,
Wewe popote ukiona mgalatia anatjaa mwarabu basi ujue ni uislamu wanakusudia
 
Hatutaki wazungu wanatufundisha mchezo mbaya 🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣
 
Hahahaa,kasome principals of economics utapata mwanga,uchumi haujengwi kwa dhana na hisia
Kumbe unakariri uchafu, halafu unakuja hapa ukidhani wewe ni mjuaji? Wewe huna akili za kufikiri badala ya kukariri kuona kama hayo uliyokariri yanaendana na hali halisi iliyopo nchini?

Kuna faida gani kwenda kukariri uchafu usiokuwa na manufaa ya kuwainua wananchi nchini mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…