Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

To be honest wanawake walioumbikaa hata wanawake wenzao wanawaonea wivuuπŸ˜„πŸ˜„unakuta mtu anakukasirikia tu hata sababu hujuiii...unajiuliza nimefanyaa NiniπŸ˜„πŸ˜„kumbee shepuu dadaaaπŸ˜„πŸ˜„
Hii nshawah kumuuliza demu fln hv mwembamba, akasema roho hua inamuuma sana mpaka anatamani asiwe anakutana na waliomzidi mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…