Ndo hapo sasa, Nilitaka niseme na walio weka roho zao mkononi kulinda mipakani sijui nawenyewe wasemaje.Pole lakini ata sisi uku mipakani tunalinda usiku na mchana hivi Mimi ninasiku ya Saba sijatoka nalinda tu nyie wengine mko bar mnaenjoy mshahara wenyewe kiduchu
Vigezo gan vinahtajika nije niaze kazi kesho!!Unaweza kuona mshahara na malupulupu ya mlinzi wa BANDARI yanakuzidi mapato yako.
Mshahara 900k
House allowance 360k.
Transport allowance 200k
Overtime 600k
Misheni town (SIRI).
Bongo ni timing tu unatoboa.
Karibuni tulinde
Ndo mana wakaweka sheria kwamba mtumishi wa uma Huruhusiwi kuwa mfuasi wa chama cha siasa ili waendelee kupiga pesa kmya kmya.Wengi wanasomea udaktari wakitiana ujinga huko mashuleni eti ndo una hela, siyo kweli, hakuna taaluma au ajira yenye hela maana mishahara ni midogo.
Chenye hela ni kuwa mfanyabiashara mkubwa, au teuzi za Rais, kwingineko utaishia kupata hela za kula na ada za watoto, kujenga nyumba moja tu na gari moja tu la mkopo.
Gombea ubunge kama mwenzako ndugulile alivyofanya, na serikali hii itaongeza mishahara tu we subiri.
Nlijua tu lazma unijibu hv mzee wa uchawi wa ndele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuke bibi ako wa kusini hajambo?KIrahisi tu uje uanze kazi?
Subiri utumishi watangaze ndo uombe
Ndo mana wakaweka sheria kwamba mtumishi wa uma Huruhusiwi kuwa mfuasi wa chama cha siasa ili waendelee kupiga pesa kmya kmya.Ungegombea ubunge ukalipwe pesa nyingi nawewe, nani kakulazimisha kusomea udaktari? Nitajie ni mtaaluma gani anayelipwa vizuri ktk ngazi ya halmashauri kuliko daktari?
Acha kazi ukagombee ubunge, maisha hayafanani.
Polisi naona kama wana afadhali hasa ukiwa na degree, pia wana fursa za rushwa.Mkuu kwa nchi yetu kazi za Afya, Ualimu na Polisi ni kazi za Wito! Zinahitaji uwe Mpole tu kama Padre! Na kumtegemea Mungu.
Vinginevyo Mkuu kwa kada yetu kama huna imani, utaangukia kwenye majaribu ya kuchukua CCD ili kujikim na maisha!
Mungu atusaidie.
So wamesimamishwa kazi au?Kuna moja ilipokea hapa mwezi wa 5.
Specialist kala ban miaka 2
Registra mmoja kala ban mwaka 1
Registra mwingine kashitakiwa [emoji26]
It means kwa mwezi kikaa call mbili utalipwa elfu 40Inategemea na hospitali, sehemu nyingi ni elfu 20 kwa call, zingine elfu 10 au 15.
Sidhani kama ni kweli, chama unashiriki tu.Ndo mana wakaweka sheria kwamba mtumishi wa uma Huruhusiwi kuwa mfuasi wa chama cha siasa ili waendelee kupiga pesa kmya kmya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni mwajiriwa wa hospitali ya wilaya Mkuranga, na masters yake aliisoma hapo hapo Kairuki, alimaliza mwaka 2017, spidi yake ya operation ni ndogo tu, kuna AMO fulani CS anaifanya kwa robo saa, hata procedures zingine yuko fasta sana na hakuna complications.Nenda kairuki mtafute gyno mmoja anaitwa Dr kiswaga anafanya Cs 6 kwa masaa matatu au manne unalalamika nini sasa?
Mtoq mada kadanya hizo kazi kwa masaa mengi pengine ni kwasababu wagonjwa wanakuja mida tofauti tofauti na siyo kwamba wanakuja wote kwa pamoja.Huyo jamaa ni mwajiriwa wa hospitali ya wilaya Mkuranga, na masters yake aliisoma hapo hapo Kairuki, alimaliza mwaka 2017, spidi yake ya operation ni ndogo tu, kuna AMO fulani CS anaifanya kwa robo saa, hata procedures zingine yuko fasta sana na hakuna complications.
Na Kuna kupandishwa madaraja pia, miaka mitatu au minne, mishahara itaongezeka, so udogo wa mishahara ni miaka ya mwanzo tu, ikipita miaka kuanzia minne tu, unaanza kupata unafuu.Wengi wanasomea udaktari wakitiana ujinga huko mashuleni eti ndo una hela, siyo kweli, hakuna taaluma au ajira yenye hela maana mishahara ni midogo.
Chenye hela ni kuwa mfanyabiashara mkubwa, au teuzi za Rais, kwingineko utaishia kupata hela za kula na ada za watoto, kujenga nyumba moja tu na gari moja tu la mkopo.
Gombea ubunge kama mwenzako ndugulile alivyofanya, na serikali hii itaongeza mishahara tu we subiri.
Mbona baadhi ya madaktari wanachukua rushwa na wanapiga madili ya kuiba dawa na vifaa tiba, chaajabu mtoa mada na wanaomsapoti hajahesabia rushwa ktk malalamiko yake.Wanangu madaktar mnalipwa Hela ndogo sana na mnafanya kazi inayotumia akili kubwa na maarifa alafu kahela kenu ni kadogo tu.
Ila Kuna vijana huko manispaa na halmashauri form 4 tu wanaondoka na 200k kiulanini tena kwa siku . Kwa mikono ya rushwa na UPIGAJI
Madaktari waangaliwe kwa jicho zuri !!!!
Ndio maana wengi wanauza simu na kufungua maduka ya vifaa vya hospital kwa sababu washaona hospital sio MCHONGO tena