Ndoa hapana! Sitaki

Mtu anataka kwenda kutoa mahali,
Alafu yeye mwenyewe hajipendi, anataka aanze kujipenda,
Ni mvuta sigara na mnywa pombe alafu hajui sababu zinazomfanya awe hivo. Ndio anataka kuacha,
Hana akiba, ndio anataka kuanza kuweka akiba,
Kataka kutoa mahali, anaambiwa milioni mbili, kashtuka eti hatoi tena.

Jamani tunamshauri nini huyu, si kijana wa hovyo huyu.

Mbona mahali ni jambo la hisia sana.
Si hajitambui huyu.
Kwanza tumfanye ajitambue. Aimbe ushauri huo.
 
Mkuu kila la kheri naamini lazima utoboe

Huyo mwanamke angekuletea mapicha picha ya ajabu na matumizi makubwa yasiyokuwa na msingi

Ubahili ni mzuri,ila usijibane kwenye kula,kuvaa na kulala pazuri
 
Kamna cha blabla nyingi, sema wewe ni shoga tu. Mwanaume kamili anayajua majukumu yake haogopi kuoa. Milioni 2 ni hela ya kawaida tu ila wewe inakutoa ushuzi.
Shoga? Ulijuaje uliwahi kuwa na uhusiano naye na alikulala?
 
We mjinga Sana eti! Sasa hiyo milioni mbili kwani unatoa yote??

Endelea kuweka akiba uje utoe mahari million ishirini ukifika 40yrs,

Muulize baba yako alitoa ngapi?

Zama zimabadilika

Halafu mnawasikiliza hawa wa jf?? Asilimia 85 wenzio wameoa humu,wasiooa ni wewe na wenzio 14.
 
5.nakuwa mtu wa kujipenda na kupendeza kuvaa vizuri

Ukizingatia hii utapata wake wengi zaidi bila hata mahari mkuu
 
2m unakimbia ehhhh.
Siungeongea nao wakakupunguzia au ukawa unalipa kidg kidg maan mahali hua haiishi.
 
Mbona hatuoi na hatuolewi? Sisi ni kupiga mambo tu no kuoa! Siku hizi kuna mpaka wa 1500[emoji38] nioe natafuta nini sasa? Kipi nakosa? Hatuoi na hakuna kima wa kutuoa
Wewe ni wa hadhi ya 1500 πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ipo philosophy moja kuna rafiki yangu humu jf aliwahi kuniambia kwamba ukienda kutoa posa halafu utajiwe kutoa mahari kubwa hiyo huwa ni mbinu ya kukufukuza kama endapo familia haijakupenda
Dah!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…