Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Nimeoa BIKRA kwahiyo kama unaona unaumizwa na huu nyuzi JITAFAKARI SANAkuoa au kutokuoa mwanamke bikra siyo ishu tena karne hii mpya ya ma_YEBEBEE. wengi wenye kuumia na hili suala ni wale ambao hawajahi kumbikiri mwanamke yeyote maishani mwao. ukimtoa bikra binti hata usipomuoa, nawe ukaoa asiye nayo wala haiumi kabisa.
Ninyi ndio mnatuharibia watoto wa shule huku mitaaniNakula sana mademu ndio nawaachia mabwege kama wewe mle takataka used, hadi sasa nishazindua bikra 8
Au sioNinyi ndio mnatuharibia watoto wa shule huku mitaani
Zindua unavyoweza ila kuna siku na yakO Itazinduliwa tena Naomba nikufumanie na mwanangu anaesoma naizindua hiyo bikra ya chemba uku ukikatika kiuno kama fally Ipupa Mtu yoyote anaetenda dhambi akajisifu huwa hapaswi kuonewa huruma NarudiA ipo siku Bikra yako ya manyu Itamiminwa.Nakula sana mademu ndio nawaachia mabwege kama wewe mle takataka used, hadi sasa nishazindua bikra 8
Kenge wewe mimi sijazindua popote mikwara tu, ila kama una mtoto bikra nipe nimuoeZindua unavyoweza ila kuna siku na yakO Itazinduliwa tena Naomba nikufumanie na mwanangu anaesoma naizindua hiyo bikra ya chemba uku ukikatika kiuno kama fally Ipupa Mtu yoyote anaetenda dhambi akajisifu huwa hapaswi kuonewa huruma NarudiA ipo siku Bikra yako ya manyu Itamiminwa.
Njoo inboxNipe mmoja nimuoe
Subiri niifute hiyo comment, mimi sina tabia za kuziharibu bikra, ila niamini bikra zipo nyingi tuSasa si uchukue mmoja wapo uoe, si ndo unasema huwezi kuoa asiye bikra, hao hao uliowaharibu ndo uoe, mmoja wapo, usiendelee kuharibu wengine, tuachie na sisi, mabikra tunawahitaji pia, na kama unamjua mmoja wapo niunganishe nae, sijawahi kumbahatisha Bikra hata mmoja.
Niconnect na mmoja.Subiri niifute hiyo comment, mimi sina tabia za kuziharibu bikra, ila niamini bikra zipo nyingi tu
Upo mkoa ganiNiconnect na mmoja.
Yupo mmoja ni bikra kabisa unapewa na warranty.Kwq sasa Dar.
Du, anaumri gani huyo?Yupo mmoja ni bikra kabisa unapewa na warranty.
N. B ukimuuliza watoto wanazaliwajwe anakuambia uwa wananunuliwa madukani
Miaka almost 20Du, anaumri gani huyo?