Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Waweza kudhani uliyoandika yana ukweli kumbe pumba tupu, So kwahiyo mwanamke ndoa ni ajira kwake?!
Kwasisi waislamu tuna vigezo vinne kwa mwanamke kuolewa, mengine yote ni pumba tupu!
 
Ni ujinga kumkuta mwanaume mwenye kende zake mbili kama mimi kushadadia wanawake waolewe wakiwa bikira wakati yeye ndio huyo anaechangia kwenye kuzitoa bikira za watoto wa watu na anaowatoa hawaoi, au anategemea waolewe na nani!!
 
Waweza kudhani uliyoandika yana ukweli kumbe pumba tupu, So kwahiyo mwanamke ndoa ni ajira kwake?!
Kwasisi waislamu tuna vigezo vinne kwa mwanamke kuolewa, mengine yote ni pumba tupu!
Akili zenu zishakuwa brainwashed na izo dini na blah blah nyingine mnashindwa kuyaona mambo kayika uhalisia.

Sasa ndoa sio ajira kwa mwanamke? Kasome sheria ya ndoa halafu uje hapa kuangalia ujinga ulioandika
 
Boss hawa wanazingua sana ujue,kuna vibinti maskini kutokana na kazi ngumu bikra zinatoka,wengine kama hivyo kubakwa kama ulivyosema hlf wanatokea wapuuzi fulani wanavunja heshima ya hawa viumbe
Wako bikra bikra akisha Jua TikTok basii mzoa taka wake 🤣.........Tena Kuna mwingine Ali ulizaga mhhh mjue mm sija wahi kukojozwa watu weee ehee Yan mm na Mme nyenyeee awee akutane na kijana wa hovyo asquit kama ata mthamini uyo boya mpenda bikra
 
Kwa karne ya sasa, Kosa mwanamme atakalo lifanya ni kutokumchunguza mkewe.

Tyrese angekuwa na spy app, asingelizwa kiasi kile.

Wanaobambikizwa watoto, wasingelea watoto wasio wao mpaka wanakua wakubwa.

Wanaume wengi wanauliwa na wake zao kwa sababu wanawaamini sana na hawataki kuwachunguza.

Mwanamke anapaswa kuwa purity na genuine 100% ili awe mwandani wako.

Siyo mke ambaye ukiondoka anakuita fala, akikaa na marafiki/ma ex zake wa kiume anasema yako yote.

Kijana acha uzembe, kama una uwezo mchunguze huyo unayemuita mke wako uone kama sio adui wako namba 1.

Mazungumzo 80% ya mwanamke yapo kwenye simu, fanya chini juu dukua simu yake ujue anawasilianaje.

Jiulize, Nchi ina jeshi kubwa ila ni kwa nini kuna usalama wa taifa?
 
Ukimchunguza mtu uwe una uhakika unataka kumuacha sio kumchunguza alafu ukipata ulichokitafuta unaanza kulalamika
Boss umeongea point muhimu sana tena sana,na hilo wachunguzaji wengi hawajiandaa kwa hilo,unapoamua kumfuatilia mtu ina maana ukimkuta na.mapungufu unamalizana naye mazima kinyume na hapo ni majuto na mateso tu
Wasione watu ambao hawachunguzi wenza wao ni wajinga hawataki kujua mambo ambayo yatawaumiza na angali wanashindwa kufanya maamuzi magumu
 
Ungebold haya maandishi mkuu.
 
Upo sahih mkuu, mi hujiuliza kama bikra ndo hudumisha mahusiano why wanawake hawadumu na wanaowatoa bikra?
Kiukweli kabisa ubikra hausiani kabisa na kudumu kwa ndoa hizi ni kasumba ambazo tumejiwekea

Kama unavyosema ingekuwa bikra ni dili basi hakika tungeona tofauti kubwa kati ya ndoa zenye bikra na wasio na bikra,lkn wote wanateseka tu
 
Binafsi napinga kuwa chemistry kwamba inasababishwa na ubikra hapana,chemistry ni zile hisia ambazo unazipata ama kwa urembo wa binti au ni namna gani mnashea mambo yenu pamoja kwa maana mnaendana

Tena naweza sema chemistry si uzur bali ni tabia na jinsi mnavyoelewana,unajua mwonekano ni first impression na haizidi miezi mitatu yani hapo unakuwa umemzoea mtu wako,we hukuwahi ona mtu ana dem mkali lkn bado anazuzuka na pisi nyingine? Yule ashamzoea hana jipya tena

Sasa chenye kudumu kwenye mapenzi ni tabia na mwenendo mwema,kama dem anakuheshimu,anakusikiliza anakujali na kuappreciate hata vitu vidogo umavyomfanyia lazima bond au chemistry itakuwepo tu

Kwahiyo bikra haina dili hapo zaidi ya kujiliwaza tu umempata dem ambaye hajaguswa
 
Asante sana boss
 
Ni sahihi, lakini katika mazingira haya ambayo wanaona ndoa sio issue unafikiri kutakuwa na motivation gani ya kuwafanya waitunze bikira kwa ajili ya kuolewa?
Na wanasahau kila siku vijana wa hovyo wanapiga kampeni ya kataa ndoa
 
Sasa andiko lako naona kwa asilimia kubwa limeunga mkono kwamba bikira sio kila kitu katika ndoa kwa maana inahitajika uaminifu,maelewano na uvumilivu

Hayo ndio maswala ambayo mimi nimeyazungumzia na kukataa eti ukioa bikra ndio umeyapatia

Nakubaliana na wewe kwa asilimia fulani kwamba bikra anaweza kukuaminisha kuwa anastahili kuaminiwa au atakupa utulivu lkn ni kwa asilimia chache kutokana na mazingira tulinayo sasa hivi

Kuna namna moja tu ambayo naweza sema uislamu umefanikiwa kama ukifuatwa inavyotakiwa,katika uislamu mwanamke hatakiwi kwenda mahali popote bila maharimu wake,ina maanisha mtu wa karibu wa familia yake,iwe safar ndogo ndogo au safar ndefu,hapa kwa asilimia kubwa utakuwa umemdhibiti mke,lkn nje ya hapo omba tu awe mcha mungu
 
Tena hakuna hoja ya kipumbavu kama hiyo ya kusema mwanamke uliyemtoa bikra eti hawezi kukusahau kamwe so what?

Mimi mwenyewe mpaka leo namkumbuka my first love aliyenifanya nihisi maji yanatoka mgongoni kwa mara ya kwanza na yanashuka chini mpaka nikamwaga so what,kila mtu a aendelea na maisha yake

Yaani hoja za kipuuzi kweli
 
Alhamdulillah, dada zangu wote walishaolewa, wa mwisho aliolewa 2004 na mimi mwenyewe nilioa 2014. Do you have anything in addition?

Huyo dogo ana ujinga fulani wa kuona yeye hana jukumu la kujitunza na kukemea uzinzi na kwamba kuwachezea Wanawake ambao sio bikra ni sawa.

Sasa anashindwa kujua ya kuwa Dunia ina nidhamu yake, Dunia haipendi wajinga na wazembe ukiwa mjinga utalipwa ujinga. Huyo dogo asahau kupata mwanamke mwema sababu yeye si mwema. Huwezi kupata kizuri hali ya kuwa wewe sio mzuri na huna sifa njema.

Niliwahi kumwambia ili harakati zake ziwe Zina maana muda ambao anawaambia wenzake wasiwahudumie Wanawake ambao si mabikra na kuwaita Malaya nguvu hiyo hiyo angeitumia kuwaambia wenzake wasiwachezee Wanawake hao.

Sasa huyo dogo hajui hata uhalisia ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…