Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Soma vizuri hujajibu swali nililokuuliza katika hiyo post yangu,....Na nakuongezea swali jingine kwanini umuamini Mume/mke wako ?
Kutoaminiana ni kasumba ambayo tumejiwekea wenyewe,mfano mtu ambaye yupo humu jf anasoma kila siku visa vya watu kulizwa na wenza lazima ataingia hofu kwamba huenda mke wangu huenda nae ni mmoja wapo

Mara ngapi tunashuhudia watu humu wanakataa au wanasema hawataoa kutokana na mambo ambayo wanayashuhudia katika mitandao

Lakini pili je wake zetu tunawapata katika.misingi gani?

Lakini kubwa kuliko yote ni hofu tu ambazo zimetutawala,na ukishaingia na hofu basi lolote linalotokea litakufanya uone mwenza wako si mwaminifu
 
Mkuu
Uwenda unauelewa mdogo kuhusu manosphere na concept ya redpill.
 
Kwanza kuchunguzana ni kukiuka katiba ya jamhuri ya Tanzania,katiba inasema kila mtu ana uhuru wa faragha yake ikiwemo mawasiliano yake

Sasa ishu ya usalama wa Taifa hiyo ni ishu nyingine hapo tunazungumzia
usalama wa nchi

Kwahiyo kumbe huwa mnawachunguza wanawake ili msionekane mafala,hivi unajua mtu akimchunguza huwa anatafuta namna mpya ya kuwasiliana kama kweli ana nia ya kufanya machafu

Na kwa taarifa yako mwanamke hadhibitiwi kwa kupekua simu yake yani akitaka kuupiga tukio anakupiga tu

Na ukiona una tabia ya kumchunguza.mwenza wako ujue kuna mawili ima hujiamini kama unapendwa au ama huyo mwenza wako ni malaya,yani umeoa malaya ndio.maana huna imani nae


Acheni hizi mambo bwana
 
Na kwa sasa mitandaoni kuna mafundisho mengi sana kwa vijana kuwachukia na kuwashusha thamani wanawake. Yaani ni kampeni iliyoshika kasi mno. Mtu ukimpenda mwanamke wako wanakuita SIMP. Inashangaza sana. Wanaokuwa na mitazamo ya kibabe kwa wanawake wanajiita Alpha Males.. kimsingi naona nyuma ya pazia kuna agenda ya kuibomoa kabisa taasisi ya ndoa.
 
Wanabomolewa sana nyuma
 
Nakubaliana na wewe kabisa,yani wanataka sijui tuwe wakatili na tusio jali au sijui wanataka tuweje
 
Kijana inaonekana unadate mshangazi na ndio unaokutunza.

Vijana wa kaliba yako hawana sauti kwa wake zao maana wao ndio wanatunzwa.

Kumchunguza mtu haimaanishi kwamba unataka kukamata makosa yake, bali ni ishara ya kumlinda.

Huwezi kumlinda mtu kama huna taarifa zake za ndani au unasubiria mpaka akwambie shida zake.

Kijana mchunguze na mlinde mkeo, utakuja nishukuru. Kuwa jasusi kwa mkeo.
 
Una mlinda kwa lipi,yaani siku hizo alikuwa salama mpaka wewe unamuoa halafu mara pap anakuwa yupo hatarini mara baada ya kuwa na wewe?

Kwahiyo huwa mnainjoy kabisa kusikia na kusoma habar zake akiwasiliana na wazazi wake,ndugu zake,mashoga zake,umbeya wote nawe mwanaume mzima unaisikiliza,hivi mda mnapata wapi?

Siku moja nipo kwenye daladala dume zima lipo na tab yake linasoma chat zinazo fanywa naona na mkewe,ndiyo.maana mnapata pressure mapema
 
Naongelea hapo kwenye chemistry ya sex kwa sababu hapo ndipo insticts ya kucheat inapoanzia, nadharia ya kibamia inaanzia hapo kwa sababu mwanamke anafanya comparison ya ukubwa wa maumbile ya wanaume waliomtomba.
 
Naongelea hapo kwenye chemistry ya sex kwa sababu hapo ndipo insticts ya kucheat inapoanzia, nadharia ya kibamia inaanzia hapo kwa sababu mwanamke anafanya comparison ya ukubwa wa maumbile ya wanaume waliomtomba.
Swali.kwako ili sex iwe yenye kufurahisha na kuridhisha inahitaji tango kubwa au dogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…