Ndoa ina faida gani ?

Nakazia hapa
 
We mzee kwa karne hii kuharakia kuoa ya nini alafu una koswa amani mimi nimerequest ndoa kwa Mabinti zaidi ya watano Ila wote ni under 25 wanasema ety mpaka watimize malengo yao kwanza
 
Umeandika kama kijana, nasubiri ukiwa mwanaume ndio utamjua umuhimu wa ndoa.
 
Hali ya kutokuwa na upendo.
Watu wangekuwa na upendo maisha yangekuwa rahisi sana na wala system isingeweza tu bully kirahisi namna hii.

Hebu fikiria
"watu wanakuchangia up to 15 million ili uingie kwenye mkataba ambao wao wenyewe wanataka kuuvunja leo na wanakuja kusherehekea ukiwa unausign huo mkataba. Hakuna upendo brother ni unafiki na uzandiki.
 
Nimeipenda hii
 
tafuta watatu mpaka wa saba lea wtoto , sio hawa watu wazima walioshindikana
 
Pole sana
 
Endelea kusimamia msimamo wako na uendelee kupiga punyeto na uhuni mpaka Ufe.
Maisha ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…