Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Mpelekee moto tu hayo mengine mnajidanganya.
 
Dah,mmezidi na nyie na kuzisema hizi ndoa.Yani mkae uchumba siku zote usigundue hizo dosari ndani ya mwezi Tu unakuja kulalamika hapa umechoka.
 
Anza na wewe mkuu kujitafakari, je ulivyokuwa una-mhandle alivyokuwa kwao ndiyo hivyo hivyo unafanya baada ya kumuoa?
 
Unapiga mbususu vzuri?? Kuna sehemu umepwaya mkuu. Tafuta pesa, wanawake hawana kisiran.
 
Mwenye masikio asikie.
 
Haya mambo madogo. Kuwa mwanaume. Ishi kwa akili.
1. Acha na usifanye vitu vinavyo mfanya awe na kisirani?
2. Acha na usifanye vitu vinavyo sababisha kununa.
3. Acha na usifanye mambo yanayosababisha migogoro.
 
hiyo kununa alikua nako sema si mtu akiwa mbali sasa saizi naona imekua too much
Hii tabia wanawake wengi sana wanayo, me mwenyewe unaweza kuamka asubuhi au umetoka kazini unashangaa wife kanuna hakuna salamu wala hakusemeshi. Sasa kwa kuwa nilishamjua na mm namkaushia tu tunaweza maliza hata siku 3 hatuongei, mood zake zikikaa sawa unashangaa huyo anaanza kukusemesha na mambo yanarudi kma kawaida. Hawa wenzetu wakipata changamoto labda kazini, kwenye biashara, au mambo yao ya kifamilia, ww mume ndiyo unakuwa punching bag as if ww ndiyo umeleta hizo shida... utanuniwa na papuchi hupati. Kazi kweli kweli
 
Duh mbona imekuwa mapema ivyo kamanda?? yani hata kuonana dada na kaka bado embu mkalishe chini umuulize tatizo ni nini ukiona bado kampumzishe kwanza kwao ili ajitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…