Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana

Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro

Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Hii changamoto inawakuta wengi mno nikiwemo na mie pia
 
Huwajui hawa viumbe, hawatabiriki na hawajui wanachotaka
Kitabu cha kuwaelewa wanawake wanataka nini? Vs cha kuwaelewa wanaume wanataka nini?
1712498633146.jpg
 
Huwajui hawa viumbe, hawatabiriki na hawajui wanachotaka
Kweli siwajui ila nachokifahamu kama unapendwa, basi hakutakuwa na drama ila lazima wakujaribu.

Nilichokigundua ni kwamba, mwanaume ukiwa na good looks, uko financial stable na pia unaenjoy sex naye, drama zinakuwa chache sana. Yaani ukiwa physically attractive, jinsi mwanamke atakavyokutreat ni tofauti na mwanaume ambaye hayuko physically attractive.
 
Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana

Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro

Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
KATAA NDOA, KUJA JAMBO MNAITWA KUJADILI. MJE NA MADESA YENU KWA REJEA!
 
Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana

Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro

Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Mkuu,Tatizo sio Mkeo Tatizo ni wewe.Mke Akiwa na Kisirani,Kununa na Kuzalisha Migogoro Maana yake kuna eneo una Pwaya.Sasa Ili Ujue Una Pwaya wapi Badala ya kukosa Amani.Jitahidi Kabla ya Iddi Umnunulie Abaya hata kama sio Mwislamu,Kisha Siku ya Idd Umpe Mtoko Umpeleke sehemu ilyochangamka ambayo pia ina Pisi kali na watu wakali ambao wanajidai.Kaa naye Jiachie naye Mpaka Usiku Mwingi.Kama unatumia VYomba na anatumia Basi itakuwa vizuri ili msizidishe.Mkirudi nyumbani Asubuhi wahi kuamka uaanda Breakfasta Kisha wakati wa Break fast msifie sifie kidogo kisha akishashiba vizuri Umuulize Kuhusu yale yanayokukera.Ila Usimuulize as If unamlaumu yeye.Muulize as if unahisi kuna kitu unakosea na unataka ufanye sawe ili awe na furaha.

Akikueleza ukiona ana point fanyia kazi.Usipoona Point basi mwambie hupendi anune.Akiendelea Kununa Basi Check nae iwapo Mimba imenasa Maana sometimes Mimba zinakujaga na Vituko vyake.Kama hana mimba na kisirani bado Kipo basi Mtafutie Mke mwenzake.Maana Shida Zikiwa Mbili huwa zina tabia ya kutatuana.Yaani Shida ya mwingine inaweza kuwa suluhu ya shida ya mwingine.

Kama umenielewa Fanyia Kazi.Na Bili yangu Ulipe
 
Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana

Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro

Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Swalii fikirishi ulimpendea nini je ulichompendea Bado anacho
 
Back
Top Bottom