DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Ungekua unaweka namba ya simu kwenye uzi wako km Mwashambwa bila shaka Kataa ndoa wangeku bless sana miamala maana umewafurahisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa akaoa mke wa watu.....ukute hapo Ma X wanamvuruga ...ukikuta kanuna sio kwamba kakununiw wewe bali ana hasiea za X- wake kasikia huko aliko kapata demu mwingine.Mbona mapema, Kwa staili hiyo utaaga mapema
HahaaUkiona unakosa Amani Basi Tafuta vurugu
Hii changamoto inawakuta wengi mno nikiwemo na mie piaJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
😂😂😂😆"Mpiga nyeto akioa......."
Huwajui hawa viumbe, hawatabiriki na hawajui wanachotakaUko sahihi.
Mwanamke akikupenda hakutakuwa na drama yoyote.
Kitabu cha kuwaelewa wanawake wanataka nini? Vs cha kuwaelewa wanaume wanataka nini?Huwajui hawa viumbe, hawatabiriki na hawajui wanachotaka
Kweli siwajui ila nachokifahamu kama unapendwa, basi hakutakuwa na drama ila lazima wakujaribu.Huwajui hawa viumbe, hawatabiriki na hawajui wanachotaka
Tafuta kitabu cha Body Language, ukisoma, na ukaiapply, wanawake hutakuja kuwachukia maana wanatoa signals nyingi kwa kutumia miili yao, anaweza sema "anakupenda sana" ila ishara ya mwili wake unakataa.Kitabu cha kuwaelewa wanawake wanataka nini? Vs cha kuwaelewa wanaume wanataka nini? View attachment 2956621
KATAA NDOA, KUJA JAMBO MNAITWA KUJADILI. MJE NA MADESA YENU KWA REJEA!Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Mbona naona nyuzi nyingi humu za kusifia waha kuwa ni wife material, wavumilivu nk. Vp tenahapana muha
Sawa tu nipo tayariAladu wewe chukua nafasi ya huyo mke
THISAfter sex, the truth is revealed
Shida ilianzia hapa, ulitakiwa kumjua kwa ukaribu kwanza .hiyo kununa alikua nako sema si mtu akiwa mbali sasa saizi naona imekua too much
Mkuu,Tatizo sio Mkeo Tatizo ni wewe.Mke Akiwa na Kisirani,Kununa na Kuzalisha Migogoro Maana yake kuna eneo una Pwaya.Sasa Ili Ujue Una Pwaya wapi Badala ya kukosa Amani.Jitahidi Kabla ya Iddi Umnunulie Abaya hata kama sio Mwislamu,Kisha Siku ya Idd Umpe Mtoko Umpeleke sehemu ilyochangamka ambayo pia ina Pisi kali na watu wakali ambao wanajidai.Kaa naye Jiachie naye Mpaka Usiku Mwingi.Kama unatumia VYomba na anatumia Basi itakuwa vizuri ili msizidishe.Mkirudi nyumbani Asubuhi wahi kuamka uaanda Breakfasta Kisha wakati wa Break fast msifie sifie kidogo kisha akishashiba vizuri Umuulize Kuhusu yale yanayokukera.Ila Usimuulize as If unamlaumu yeye.Muulize as if unahisi kuna kitu unakosea na unataka ufanye sawe ili awe na furaha.Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Swalii fikirishi ulimpendea nini je ulichompendea Bado anachoJaman ndoa ndo zilivo.