Mimi nimeoa 2003. Ukihangaika kuridhisha hawa viumbe utapoteza channels za maisha, wenyewe hawajui wanataka nini, ukiwa na pesa maana yake mpambanaji, watakuambia humpi muda wa kutosha, atatembea hadi na watu wasio na hadhi inayofanana nae, ukijifanya kumpa muda mtakosa pesa atatembea na wenye pesa kukidhi mahitaji hata yasio muhimu kwao ili familia yake imuheshimu. Nilishapoteza hadi kazi kwa stress za mke yeye anaongeza elimu na vyeo kazini kwake, nilipokuja kukaa sawa miaka mitano ishapotea bila la maana kwa stress, kuwa makini sana. Muhimu kuwa na maamuzi kama mkuu wa kaya, kuna demokrasia mnapokua wapenzi, ikishakua ndoa udikteta lazima, kwani hata jambo likienda mrama lawama za jamii zitakuangukia wewe, mara anamlaza njaa, mara kashindwa kulipa kodi kisa stress