Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

Asante sana, Yan skuiz najibishwa hovyo, naonekana sio mwanaume. Daaah

Kunamda nataman kumpasua nikaozee jela maana kujiua siwez
Usmpasue man kwa uzoefu wangu mwanamke dizaini hio hakawilii kukulaza ndaniπŸ˜€
 
Ukitulia unaandika vya maana sana😍
 
he heh...wanaume bana

mkiwa na hela zenu mnaona mke wako hafai kuspend nazo....wapo wa kuzila

ukiishiwa unarudi kwa mke na kutaka akuchukulie km mfalme vile....

jiulize uliishije nae kipindi unakazi na sasa hv huna unaishije nae???

kutoa hela ya kula tu haitoshi kuonesha kujali au kupenda
 
Vijana wasikuizi Mapepe wanatabia ya kuwapa pesa wachumba kila wanapo ombwa sasa wakija kuwaoa pesa zikikimbia ndiyo wanakuja kujuwa wapo na tabia za wake walio wala, kumbe tokea mwanzo wa uchumba wao wangekuwa wagumu kwenye kutoa pesa wala wasinge pata shida kwenye ndoa maana huyu mke wake angekuwa ananyimwa pesa kipindi wapo kwenye uchumba wala asingeweza kukubali kuolewa na jamaa angenusurika kuoa mke kimeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki yako utamjuaje kama kila mtu cha kwanza analilia matunzo [emoji16][emoji16][emoji16]
Usimpe kwanza umuone uvumilivu wake japo na nyie mnatakaga mpewe kwanza ndo shida inapoanzia. [emoji23]
 
Mhm mnaongea kirahisi lakini uhalisia wa mambo ni kwamba mkono mtupu haulambwi na mbususu bila hela utaishia sikia jf🀣🀣🀣
 
Kuna Dem nliwai mchetua Alimimina shida zake hadi nikawa najiuliza uyu anaishije niliombwa hadi mchango wa Kipaimara cha mtoto…kila ikifika lunch time lazma apige simu kwamba My sijala najiuliza kabla hatujakutana alikua anashinda njaaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…