Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Sasa hapa ndipo nilitaka tufikie.Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.
Pili isitoshe hayo ni majukumu ya mwanamke, ni sawa mimi nipende kuolewa na wewe kwa sababu ni provider mzuri wa familia. Hilo ni jukumu la kila mwanaume lakini kuna vigezo ambavyo ni muhimu kuangalia kama,
Kindness.
Awe na uwezo wa kukufanya ucheke.
Muwepo na sexual chemistry.
Honestly/very open.
Supportive
Anakuheshimu.
Are you happy with her? Je ana furaha kuwa na wewe?
Je yupo tayari kuzaa watoto na wewe? Nk
Hivo ni vitu ambavyo ni ngumu ku-fake, na havipatikani kwa kila mtu. Na ni muhimu kwa ustawi wa ndoa.
Nje ya sex tunavumilia maumivu yenu ya kunyanyaswa na boss, kuumiza kichwa upike nini wakati mwanaume ameshasema hana hela.Sasa hapa ndipo nilitaka tufikie.
Kwaiyo tunakubaliana, kila mmoja atimize majukumu kwa mwenzake ambayo ni wajibu wake.
Vingine vitakuja vyenyewe.
Kuna mtu alileta uzi humu..... Nje ya Sex mwanamke anakitu gan kingine cha kumpa mpenziwe???.
Nimeshawasoma comments zao. Kunasiku nilisema, kelele zinazopigwa mtandaoni na wanaume kwenye utekelezaji wake ni zero.Hizo mutu achana nazo zina aleji na wanawake..wanaonaga wanawake kama viazi vile..kila ishu inayohusu wanawake wapooo..kama unanibishia, anza kufanya observation kuna certain ID za kiume, sijui mama zao walikosa nini katika malezi yao lazima ishu za wanawake ziwaminye watoke huko waliko......hahaahahah usimuoe mwanamke wa ndoto zako..eti unaoa yule anayejua kukufulia 'jinsi' hio ni akili au matope?? ndio maana wanaume wengi wanaishia kuchepuka.........by the way siku hizi kuna ma dish washer kariakoo pamoja na washing mashine....lol
Unahisi ni uzuri gani labda ambao ww unaweza kuwa nao ambao wengine hawana? Chemistry....chemistry ipi unayoizungumzia hapa zaidi ya kutimiza majukumu yako kama mwanamke kwa mwanaume? Ikumbukwe ucheshi,ukarimu wengi wanavyo na hata uvumilivu pia akishakupenda atakuvumilia tu.No, ni uzuri and then chemistry, kama unatafuta wa kukufulia kwa nini hukuweka houseboy au housegirl?
Very weak point, kutambulisha?! You kidding?!Ninakubaliana na wewe, angalia mwanaume anavyokutambulisha kwa rafiki zake. Kama haoni fahari kuwa na wewe mbele ya rafiki zake, huko muendako Kuna giza.
Muoaji haulizwi atakua na hamu ya kufahamu familia yako, na nyinyi wanaume mkipikiwa hata vyombo muoshewe.Very weak point, kutambulisha?! You kidding?!
Anyway we ni best yangu lakini hapa naona unawaza kike kike.
Personally, kuna huyu mmoja nilikuwa nae, anaweza akaja kwangu mda wowote. Lakini akifika anakaa kwenye kochi anatafta remort iko wapi anaanza kubadili channel. Nitajisemesha kuhusu kupika or tunakula nini utakuta amenyamaza. Nitaingia jikoni naandaa chakula yeye amekaa anachart. Nitaandaa kila kitu hadi naweka mezani, ye kazi yake kula na kujitupia kitandani. Okay, nikaona isiwe kesi labda hajazoea saaaana. Mnaweza lala kitandani badae labda mkaamua kutoka wote, ataingia kuoga lakini kitanda kitaachwa shagalabagala hana mpango kabisa. Atakuta nyumba chafu lakini hawezi jisumbua kusafisha. Nikaona anajikweza sana so nilichokifanya ni kuwa busy na mambo yangu saaana hata aliponitafta nikawa sipatikani ikabidi ajiongeze tu.
Haha halafu unasikia anasema, baby mipango ya ndoa yetu vipi sasa. Yaani mi nioe mzigo?!
Girls mjiongeze, hata kama hutaki kufanya kama mke basi Fanya kwa kiasi ili lisionekane gap wala usiboe.
Majukumu ya kukufanyia usafi na kusahau vigezo ambavyo ni muhimu kama nilivyokuandikia hapo ju?Sasa hapa ndipo nilitaka tufikie.
Kwaiyo tunakubaliana, kila mmoja atimize majukumu kwa mwenzake ambayo ni wajibu wake.
Vingine vitakuja vyenyewe.
Kuna mtu alileta uzi humu..... Nje ya Sex mwanamke anakitu gan kingine cha kumpa mpenziwe???.
MnoUlimuonea sana.
Aliyatii maelekezo yako kwa ugeni wake.
Hata hayo mayai haukuyatoa kwa moyo wa kumsaidia mwenye njaa kama kweli ulimpa sufuria la kilo mbili kwa mayai matatu...
Katubu hiyo dhambi [emoji1][emoji1][emoji1]
Anapimwa na nini kama sio kwa vilivyoainishwa...
Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.
Pili isitoshe hayo ni majukumu ya mwanamke, ni sawa mimi nipende kuolewa na wewe kwa sababu ni provider mzuri wa familia. Hilo ni jukumu la kila mwanaume lakini kuna vigezo ambavyo ni muhimu kuangalia kama,
Kindness.
Awe na uwezo wa kukufanya ucheke.
Muwepo na sexual chemistry.
Honestly/very open.
Supportive
Anakuheshimu.
Are you happy with her? Je ana furaha kuwa na wewe?
Je yupo tayari kuzaa watoto na wewe? Nk
Hivo ni vitu ambavyo ni ngumu ku-fake, na havipatikani kwa kila mtu. Na ni muhimu kwa ustawi wa ndoa.
Unahisi ni uzuri gani labda ambao ww unaweza kuwa nao ambao wengine hawana? Chemistry....chemistry ipi unayoizungumzia hapa zaidi ya kutimiza majukumu yako kama mwanamke kwa mwanaume? Ikumbukwe ucheshi,ukarimu wengi wanavyo na hata uvumilivu pia akishakupenda atakuvumilia tu.
Ulimuonea sana.
Aliyatii maelekezo yako kwa ugeni wake.
Hata hayo mayai haukuyatoa kwa moyo wa kumsaidia mwenye njaa kama kweli ulimpa sufuria la kilo mbili kwa mayai matatu...
Katubu hiyo dhambi [emoji1][emoji1][emoji1]
Bila shaka ulisoma kwa papara,nimeainisha wazi kuwa hatupendi kwanza huwa tunatamani then mwenendo wako/wenu ndio humtia mwanaume kitanzini.... Niwe muwazi kilichofanya nivutike kwake ni makalio makubwa kwa mfano,kuna wanawake wangapi wenye makalio makubwa kama yake au kumzidi? Hao wote nitawapenda na kuwaoa?Mnhh naona unatoka nje ya mstari,kwani topic inahusu mimi??? , zunguka mibuyu ila uzuri ni factor number moja kwa wanaume, wewe ulivyomvuta huyo Ellen huko Kahama kitu gani kilikuvuta kama sio uzuri??? mbona hukuokota mama ntilie yeyote hapo..ukam pick yeye??.....Chemistry, ni ile hali ya ku click wewe na mwenzio.......kama anafuraha,amani/content akiwa na wewe, na wewe una feel the same..ndio basis ya ndoa itakayodumu,mambo yako ya ucheshi,ukarimu baki nayo...sio chemistry!
Interesting commentKwanini uishi sehemu chafu? Kwanini usifanye usafi nyumbani kwako?. Wote mnatakiwa mjue kufanya usafi na muwe mnafanya usafi kwenye nyumba zenu. Na mwanamke wa kuoa hapimwi kwa vitu hivyo.
Bila shaka ulisoma kwa papara,nimeainisha wazi kuwa hatupendi kwanza huwa tunatamani then mwenendo wako/wenu ndio humtia mwanaume kitanzini.... Niwe muwazi kilichofanya nivutike kwake ni makalio makubwa kwa mfano,kuna wanawake wangapi wenye makalio makubwa kama yake au kumzidi? Hao wote nitawapenda na kuwaoa?
Kwann usimfuate kwao ukaombe ridhaa kwa wazazi wake wakuachie umtunze hadi uzee wake?!Binafsi ninachoamini wanaume huwa tunaanza kutamani sio kupenda ila hatma ya mahusiano yenu katika tamaa kwa uliyemtamani ndio yenye uwezo wa kukuangusha katika penzi la kweli.... Imagine unaweza ukamuona mdada ni wife material kabisa ila ukiwa naye katika mahusiano mwezi mmoja tu anakutumbukia nyongo. Hayo mambo ya sijui love at first site ni ushubwada tu wa kwenye movie ila mwanamke ana vingi vya kumshawishi mwanaume ikiwemo hili la kutimiza wajibu wake kama mtoto wa kike.
Miezi kadhaa nyuma nilipata kukutana na mdada mmoja hapo Kahama she was so cute na kiukweli nilimtamani tu,mtt white flan hv isiyo ya kukera,sura ya kitoto,guu la bia,mzigo ndo kaufangasha haswa...katika harakati za ushawishi na baada ya kufanikiwa nikagundua ana kitu cha ziada kunako sita kwa sita halafu vuta picha akifika gheto anatake total responsibility (anafanya kila aina ya usafi sio kudeki,kufua,kuosha vyombo suala la kupika halikuwepo coz sikuwa na jiko).... To cut short the story aliniteka mazima maana kulikua na mdada mwingine alimtangulia ila yeye hakua akivifanya hivi,bahati mbaya ni kwamba hakuwa na taarifa kwamba sina muda zaidi wa kukaa pale maana nilikua kule kwa kazi maalum na ilishafikia ukingoni ila sitokaa nimsahau na hivi niandikavyo nilimuota usiku wa kuamkia asubuhi hii hahah.... Ellen popote ulipo still nakukumbuka,niadmit tu mwanaume yeyote atakayekuoa atakua amepata mke haswaaa....
Hahahah kweli mzee, mapenzi yanataka siasa sana.Mzee wa kugusa umeongea kwa hisia sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nani atakubali huo ushenzi. Yani the moment unasema mpo kwa mahusiano ya muda mfupi jua tu hutapata unachokitaka kabisa. Labda ukafanyie hako kamchezo Kimboka.
Anachart [emoji777]Very weak point, kutambulisha?! You kidding?!
Anyway we ni best yangu lakini hapa naona unawaza kike kike.
Personally, kuna huyu mmoja nilikuwa nae, anaweza akaja kwangu mda wowote. Lakini akifika anakaa kwenye kochi anatafta remort iko wapi anaanza kubadili channel. Nitajisemesha kuhusu kupika or tunakula nini utakuta amenyamaza. Nitaingia jikoni naandaa chakula yeye amekaa anachart. Nitaandaa kila kitu hadi naweka mezani, ye kazi yake kula na kujitupia kitandani. Okay, nikaona isiwe kesi labda hajazoea saaaana. Mnaweza lala kitandani badae labda mkaamua kutoka wote, ataingia kuoga lakini kitanda kitaachwa shagalabagala hana mpango kabisa. Atakuta nyumba chafu lakini hawezi jisumbua kusafisha. Nikaona anajikweza sana so nilichokifanya ni kuwa busy na mambo yangu saaana hata aliponitafta nikawa sipatikani ikabidi ajiongeze tu.
Haha halafu unasikia anasema, baby mipango ya ndoa yetu vipi sasa. Yaani mi nioe mzigo?!
Girls mjiongeze, hata kama hutaki kufanya kama mke basi Fanya kwa kiasi ili lisionekane gap wala usiboe.
Mchane live mwambie ukweli hata kama ataumia atakuja kuelewa.Very weak point, kutambulisha?! You kidding?!
Anyway we ni best yangu lakini hapa naona unawaza kike kike.
Personally, kuna huyu mmoja nilikuwa nae, anaweza akaja kwangu mda wowote. Lakini akifika anakaa kwenye kochi anatafta remort iko wapi anaanza kubadili channel. Nitajisemesha kuhusu kupika or tunakula nini utakuta amenyamaza. Nitaingia jikoni naandaa chakula yeye amekaa anachart. Nitaandaa kila kitu hadi naweka mezani, ye kazi yake kula na kujitupia kitandani. Okay, nikaona isiwe kesi labda hajazoea saaaana. Mnaweza lala kitandani badae labda mkaamua kutoka wote, ataingia kuoga lakini kitanda kitaachwa shagalabagala hana mpango kabisa. Atakuta nyumba chafu lakini hawezi jisumbua kusafisha. Nikaona anajikweza sana so nilichokifanya ni kuwa busy na mambo yangu saaana hata aliponitafta nikawa sipatikani ikabidi ajiongeze tu.
Haha halafu unasikia anasema, baby mipango ya ndoa yetu vipi sasa. Yaani mi nioe mzigo?!
Girls mjiongeze, hata kama hutaki kufanya kama mke basi Fanya kwa kiasi ili lisionekane gap wala usiboe.
Unajua hata kama hesabu ni somo gumu ila tunapaswa kuchagua maswali ambayo tuna hakika uwezekano wa kuyapatia ni 98% hata kama yatakuwa na marks chache.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda atusaidieeee, alafu unakuta hata kanisani/ msikitini bado haendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nasemaje, wanaume linapokuja suala lakuoa, TUENDELEE KUA IVIIVI TUJITAMBUE IVIVI
Hawa viumbe ukihadaika na Upendeleo unaowapa na uzuri wa mwonekano wake.. UTAPATA TABU SANAA NAHATIKA YAKE NI KUFA MAPEMA.