Tariq Mimi
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 368
- 726
Naona umekua bingwa wa kubashiri sasa,wapi nimesema afanye kazi peke yake bila kusaidiwa? Na suala la makalio nimekupa mfano tu imagine wanaume wengi udhaifu wao ni makalio,shepu may be na chuchu...wataoa wangapi wenye sifa hizi? Ieleweke hakuna marriage at first site na ndio maana kuna kitu kinaitwa courtship...kwa hio awe na makalio makubwa pia ajue kufua 'jinsi' ,interesting!...i wish ningejua jinsi ya kuexplore deeper kujua ndoa za wafua 'majinsi' kama ziko happy,lol, sababu kwangu huku ni kufeki,mutual understanding sawa..tunafua wote au kupokezana wote tunabaki happy,hii ya mmoja kufanya kila kitu..ndio maana watu wanazeeka mapema na wanaonekana hawana furaha...ufanye kila kitu kama mwenzio yuko disabled..baaasi
Ni wazi nikiri yule ni wife material ila kieleweke kitu kimoja,siwezi kuoa tu kwa sababu nimemuona wife material sehemu fulani,ndoa ni zaidi ya kuwa na wife material...ni kuwa na utayari pia...itoshe tu kusema kwamba sipo tayari kwa hilo kwa sasa na umbali wa kijiografia ndio ushakua changamoto,natamani ningekua tayari kwa hili kwa kipindi hiki basi nafasi ingekua ni yakeKwann usimfuate kwao ukaombe ridhaa kwa wazazi wake wakuachie umtunze hadi uzee wake?!
N
Naona umekua bingwa wa kubashiri sasa,wapi nimesema afanye kazi peke yake bila kusaidiwa? Na suala la makalio nimekupa mfano tu imagine wanaume wengi udhaifu wao ni makalio,shepu may be na chuchu...wataoa wangapi wenye sifa hizi? Ieleweke hakuna marriage at first site na ndio maana kuna kitu kinaitwa courtship.
I think vijana wa sasa katika kuingia kwenye mahusiano mnafeli sehemu ndogo sana, nayo nikujua mwenzako anataka kufanyiwa nini...kwa hio awe na makalio makubwa pia ajue kufua 'jinsi' ,interesting!...i wish ningejua jinsi ya kuexplore deeper kujua ndoa za wafua 'majinsi' kama ziko happy,lol, sababu kwangu huku ni kufeki,mutual understanding sawa..tunafua wote au kupokezana wote tunabaki happy,hii ya mmoja kufanya kila kitu..ndio maana watu wanazeeka mapema na wanaonekana hawana furaha...ufanye kila kitu kama mwenzio yuko disabled..baaasi
Kwahiyo wataka niaminisha kwamba kwa kuwa hata kwenye ndoa kuna kusaidiana basi afike gheto/kwa mwanaume ajichekeshe chekeshe,apigwe miti asepe au sio....kweli kesi closed kwa maana asiyeijua maana huwa haambiwi maana.... Leo hii mwanamke anambishia mwanaume mawazo ya nini mwanaume anakihitaji kutoka kwa mwanamke....maisha yanaenda kasi sana over.Hata hueleweki unapinga nini?? kama mtazamo wako ni 'mnasaidiana' kufanya kazi za ndani,basi topic closed, LOL,
Then haupo serious na mahusiano ya ndoa unapenda ngono tu.....Ni wazi nikiri yule ni wife material ila kieleweke kitu kimoja,siwezi kuoa tu kwa sababu nimemuona wife material sehemu fulani,ndoa ni zaidi ya kuwa na wife material...ni kuwa na utayari pia...itoshe tu kusema kwamba sipo tayari kwa hilo kwa sasa na umbali wa kijiografia ndio ushakua changamoto,natamani ningekua tayari kwa hili kwa kipindi hiki basi nafasi ingekua ni yake
Ukiniambia what composes a wife material nitakuelewa kirahisi zaidi.Kwasababu nimesema hapimwi kwa kukufanyia house chores, haimaanishi nimesema anapimwa kwa hizo ulizoandika.
Inaonekana upo vizuri kwenye kuhisi wengine wanataka kusema nini, na bahati mbaya unakosea.
Hapimwi kwa mwonekano either.
Mkuu upo sahihi sana ila kumbuka ngoma au mziki unachezwa kulingana na mdundo wake,mtoa mada amezungumzia upande wa 'ke' ila naona wewe unageneralize kwa pande zote itoshe tu kusema kwamba unatoka nje ya mada ila upo sahihi kwa asilimia zote.I think vijana wa sasa katika kuingia kwenye mahusiano mnafeli sehemu ndogo sana, nayo nikujua mwenzako anataka kufanyiwa nini.
Uhusiano wa mwanamke na mwanaume unakuwa imara katika msingi wa maelewano kwanza. Hivi vigezo mnavyolist na kubishania vyote mpo sahihi lakini havitakuwa na maana kama hakutakuwa na userious wa maridhiano.
Badala ya kufocus ya kile unataka kukiona kwa mwenzako hebu muonyeshe wewe ni kwanini yupo special kwake then in the process demand na yeye akuonyeshe why yupo special kwako. Kama huyo mtu ni feki atafeli na kushindwa game mchana kweupe...... Na kama ni real utashangaa namna mtaanza kupiga hatua na kuwa imara.
Mfano kama wewe mwanaume umeamua kuwa na binti, je, kutokea ndani ya nafsi yako ni kweli unataka kumwife huyu binti au upo nae huku ukisubiria kupata unaemtaka wewe.... Then why unataka yeye awe real kwako wakati wewe kutokea ndani ya moyo haupo real kwake?!
Na wewr binti ulipomkubalia huyu kijana, ulikuwa nae kama mtu wa mpito huku ukiwa na mawazo ya kuwa na mtu mpya au ulikuwa umejibanza kwa muda ili upate mahitaji ya kifedha huku ndani ya nafsi yako ukiwa haumkubali kuwa ni mwanaume sahihi kwako, then why ulibakia nae huku muda ukienda.....?!
So kimsingi mahusiano imara huwa yanaanza na kuridhiana na kukubaliana bila usanii. Usiwe na ajenda za kificho nje ya yale mlitamkiana....... Kama mtu hauna nia ya kumuoa usiwe nae tafuta huyo anejua kukupa kile unataka na usione aibu kuwa nae sababu ndio aina ya mwanamke au mwanaume unapenda...... Sasa shida ni binti anataka mwanaume imara yaani mwanaume anayebeba majukumu yake kisawa sawa halafu unajiweka kwa mume wa mtu, unajiweka kwa sharobaro kama Hemedi PHD au mlela halafu unataka maisha kama ya baba na mama yako ambao walipambana wakitafuta maisha pamoja kwa shida bila aibu na wakafikia kukupata wewe.
Be real and get real to attract real.
Kwahiyo wataka niaminisha kwamba kwa kuwa hata kwenye ndoa kuna kusaidiana basi afike gheto/kwa mwanaume ajichekeshe chekeshe,apigwe miti asepe au sio....kweli kesi closed kwa maana asiyeijua maana huwa haambiwi maana.... Leo hii mwanamke anambishia mwanaume mawazo ya nini mwanaume anakihitaji kutoka kwa mwanamke....maisha yanaenda kasi sana over.
Na ndio point yangu ya tamaa ilipo hapo,rejea huko juu nilimtamani tu kwa muonekano wake at first na mm kama kijana niliyekamilika kimaumbile kuna vitu huwa vinatokea iwe kwa matakwa binafsi au kihisia...,kikubwa ieleweke sikuhitaji kuwa naye kwa lengo la kumuoa bali kukidhi mahitaji ila alifanikiwa kunishawishi kupitia kitu ambacho humu wanakipinga na ndio maana nikamtolea mfano kwa kuwa ni vitu ambavyo vipo wazi vinahitajika kwa mwanaume kuvipata kutoka kwa mtoto wa kike,hebu fikiria sikua na nia naye ya dhati ila aliniteka...je ni vipi kama ingekua niliingia kwa nia thabiti kabisa?Then haupo serious na mahusiano ya ndoa unapenda ngono tu.....
Maana u tayari ni upi unaoutaka wewe?! Hadi uwe na vogue, jumba la kifahari na kipato cha milioni 10 kwa mwezi..... Ni kipi hasa unataka uwe tayari nacho?!
ili awe mzuri inatakiwa aweje???Mnhh naona unatoka nje ya mstari,kwani topic inahusu mimi??? , zunguka mibuyu ila uzuri ni factor number moja kwa wanaume, wewe ulivyomvuta huyo Ellen huko Kahama kitu gani kilikuvuta kama sio uzuri??? mbona hukuokota mama ntilie yeyote hapo..ukam pick yeye??.....Chemistry, ni ile hali ya ku click wewe na mwenzio.......kama anafuraha,amani/content akiwa na wewe, na wewe una feel the same..ndio basis ya ndoa itakayodumu,mambo yako ya ucheshi,ukarimu baki nayo...sio chemistry!
Jamaa mpigaji halafu anatuzugaThen haupo serious na mahusiano ya ndoa unapenda ngono tu.....
Maana u tayari ni upi unaoutaka wewe?! Hadi uwe na vogue, jumba la kifahari na kipato cha milioni 10 kwa mwezi..... Ni kipi hasa unataka uwe tayari nacho?!
Sasa ivo ndivo vitu ambavyo vinamfanya mwanaume aseme Sky Eclat ni mwanamke nayetakiwa kumuoa haraka iwezekanavyo.Nje ya sex tunavumilia maumivu yenu ya kunyanyaswa na boss, kuumiza kichwa upike nini wakati mwanaume ameshasema hana hela.
Ila kitendo cha kufeli kufanya chores aidha kwa ridhaa yako au makusudi italeta tafsiri ya wazi kuwa u mvivu wa kufanya majukumu yako.Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.
Pili isitoshe hayo ni majukumu ya mwanamke, ni sawa mimi nipende kuolewa na wewe kwa sababu ni provider mzuri wa familia. Hilo ni jukumu la kila mwanaume lakini kuna vigezo ambavyo ni muhimu kuangalia kama,
Kindness.
Awe na uwezo wa kukufanya ucheke.
Muwepo na sexual chemistry.
Honestly/very open.
Supportive
Anakuheshimu.
Are you happy with her? Je ana furaha kuwa na wewe?
Je yupo tayari kuzaa watoto na wewe? Nk
Hivo ni vitu ambavyo ni ngumu ku-fake, na havipatikani kwa kila mtu. Na ni muhimu kwa ustawi wa ndoa.
Hujamalizia, pamoja na kutuongezea stress hadi tunakimbilia bar!Nje ya sex tunavumilia maumivu yenu ya kunyanyaswa na boss, kuumiza kichwa upike nini wakati mwanaume ameshasema hana hela.
Alry.Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.
Pili isitoshe hayo ni majukumu ya mwanamke, ni sawa mimi nipende kuolewa na wewe kwa sababu ni provider mzuri wa familia. Hilo ni jukumu la kila mwanaume lakini kuna vigezo ambavyo ni muhimu kuangalia kama,
Kindness.
Awe na uwezo wa kukufanya ucheke.
Muwepo na sexual chemistry.
Honestly/very open.
Supportive
Anakuheshimu.
Are you happy with her? Je ana furaha kuwa na wewe?
Je yupo tayari kuzaa watoto na wewe? Nk
Hivo ni vitu ambavyo ni ngumu ku-fake, na havipatikani kwa kila mtu. Na ni muhimu kwa ustawi wa ndoa.
Chemistry nakuunga mkono. Ila when it comes to majukumu kila mtu asimame kwa nafasi yake. Chemistry haileti ndoa ikiwa kuna tabia za ajabu baina yenu.Mnhh naona unatoka nje ya mstari,kwani topic inahusu mimi??? , zunguka mibuyu ila uzuri ni factor number moja kwa wanaume, wewe ulivyomvuta huyo Ellen huko Kahama kitu gani kilikuvuta kama sio uzuri??? mbona hukuokota mama ntilie yeyote hapo..ukam pick yeye??.....Chemistry, ni ile hali ya ku click wewe na mwenzio.......kama anafuraha,amani/content akiwa na wewe, na wewe una feel the same..ndio basis ya ndoa itakayodumu,mambo yako ya ucheshi,ukarimu baki nayo...sio chemistry!