Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi


Anha kwahiyo unamaanisha hizo kazi zinakuwa exchanged na pesa si ndiyo?
Which means kama mwanaume hana/hampi pesa mwanamke wake basi huyo mwanamke hatakiwi kumfanyia hizo kazi yes?
 
Kwanza hongera, ndani ya miezi mitatu tu mmekutana na mmeoana ....

Kwamba iyo miezi mitatu ulikua ukimtembelea humfanyiii chochote ??

Na bado mwamba akakuoa .Ningekua mimi Nisingekuoa.

Haha i mean no offense but i gotta say this...unaongea as if wewe usipooa kuna kitu/vitu unapunguza kwa mtu/watu...
 
Umesema sahihi mkuu ila kuna jambo ambalo nadhani ni vema tukalifahamu.

Mwanaume serious hapimwi kwa namna anatoa pesa kwa mwanamke kila anapohitaji au akibanwa shida na mwanamke hapimwi upendo kwa kuvumilia mwanaume asiyetoa pesa za mahitaji au kumtunza kwenye haja zake (kumsitiri).

Jamii ya sasa ya vijana imejengwa na fikra pitofu zinazowajaza hofu na mashaka ya wasichokijua. Mtu anahofia mwanaume asie na pesa yet yeye hajui kutafuta pesa zinatafutwaje....

Na mtu anataka kuishi na mwanamke asimpatie wala kumuomba pesa za mahitaji, je ukiwa unamla akapata mtoto wako utahudumiaje na yeye tu alikushinda kuhudumia.

So me kwa upande wangu nasema jambo la msingi kwanza nikuoneana huruma, pili kuwajibika na kujitoa kwaajiri ya mwenzako na yeye akufanyie vile vile, tatu kuimarishana na kujengana kifikra na kimwili.

Hakuna kitu strong na chenye baraka tele kama mapenzi ya dhati. Achana na story za kutafuta mapenzi ya kweli wakati haujitoi 100% na kuwa loyal kwa mwenzako.

Loyalty tunaiweza ila tunakuwa wavivu wa kuitekeleza. Imagine mtu anaona shida kumnunulia mpenzi wake chupi na umeona hana uwezo wa kujimudu au hana chanzo cha mapato.

Au unakuta mtu anamuomba boyfriend au mchumba wake pesa ya matumizi ya anasa na unajua kabisa huyo boyfriend wako hayupo vema kiuchumi ndio kwanza anajiimarisha,katika haki hiyo unakuwa unainyesha wazi kuwa hauna upendo wa dhati then why upate mapenzi ya kweli sasa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu
 
Umeongea ukweli mtupu
 
Kwanini uishi sehemu chafu? Kwanini usifanye usafi nyumbani kwako?. Wote mnatakiwa mjue kufanya usafi na muwe mnafanya usafi kwenye nyumba zenu. Na mwanamke wa kuoa hapimwi kwa vitu hivyo.
Usitetee let say umekuja kwangu kusafi lakin ukalala mpaka asubuhi kama mwanamke utojiusisha na usafi kisa hujaolewa serious??
 
I believe loyalty ndio mapenzi yenyewe na bila huruma hakuna loyalty. Ukiona mtu sio loyal maana yake ni kwamba hana huruma na wewe na mtu asiye na upendo hakupendi directly.
 
Pole sana kweli ulikurupuka
 
Hapo dada nmekupata umeongea kitu sahihi kabsa.Nishawahi kuwa na mwanamke tena analazimisha kunifulia nisipopeleka nguo ugomvi kwa haraka haraka utasema huyu ndo mwanamke lakini hamna kitu alikuwa ana fake tu ili nimuhudimie so sikubabaika nae mwisho siku nikampiga chini maana naona alikuwa na tabia za mdangaji.
 
Na kweli anawadanganya sana...
Mwingine hata kutandika kitanda baada ya game hata haangaiki!

Unachosema ni kweli tupu, kuna binti miaka hiyo nikasema hapa ngoja nipige tu, nikamshawishi akaja gheto akalala, asubuhi akaamka kulikuwa na vyombo vichafu akaosha, akapiga deki dah! Kiukweli pale pale nilimuongeza marks nyingi sana.
 
Wadada wa Kitanzania hua nawasikitikia sana mkiolewa na wanaume wa kitanzania.
 
Sure mkuu
 
Haya mambo nistress tupu maana hujui mkweli yupi muongo yupi 🤔 maana wote tunakutana ni mafundi kuigiza.
 
Magroup ya WhatsApp yanawatumbukiza wengi kwenye majaribu
Mtu anaolewa sababu ya kufurahisha wapambe utaachaje kuwa mtumwa kama anayeoa alilazimishwa kutokana na mazingira na ushawishi wa ovyo
***Ile mada ya wachache wanafanikiwa kuoa au kuolewa na soulmate
 
Kwasababu nimesema hapimwi kwa kukufanyia house chores, haimaanishi nimesema anapimwa kwa hizo ulizoandika.
Inaonekana upo vizuri kwenye kuhisi wengine wanataka kusema nini, na bahati mbaya unakosea.
Hapimwi kwa mwonekano either.
Wanaume wa humu ikija mada kuhusu wanawake wanajikuta wanajua kila kitu.
Leo kila mtu anasema hauwezi kuoa asiyefua.
Kesho ikija mada mwanamke lazima awe na chura, wote kama upepo wanasema hawewezi kula mwanamke aliyepigwa pasi.
Ikija mada ya wanawake ambao hawajasoma , haooo wote kama upepo wa kisuli suli.
Ikija mada ya mwanamke asiye na kazi, haooooo wote hawawezi kuoa mwanamke ambayo hana kazi.
Kwa kifupi wapi kama tiara hawajui wanataka nini hao cha msingi waendane na mada.

Yote tisaa, ije mada ya mabikira, wanaume wote wa jf hawawezi kula mwanamke asiye bikra.
 
Kama yule Nyenyere.
Anaonekana mahusiano yake yanaboa sana. Maana kila kukicha wanawake hivi wanawake vile.
Mtu mwenye furaha kwenye mahusiano yake hawezi kuwa na uchungu vile.
 
Angebadilisha bado ungesema 'umeniona mimi sina akili nilivyokuwekea hiyo?' Aliamua kuwa mtiifu atajuaje kama nyingine zimetoboka.
 
Niliwahi kuwa na binti nikampenda sana nikamuahidi kupeleka barua kwao, alizidisha mapenzi hadi nikachanganyikiwa lakini ilikuja tokea siku moja tu tukaachana baada ya kujua ana watoto 3 na alishaolewa lakini yote hayo alinificha
 
Anha kwahiyo mkuu unamaanisha hizo kazi zinakuwa exchanged na pesa si ndiyo?
Which means kama mwanaume hana/hampi pesa mwanamke wake basi huyo mwanamke hatakiwi kumfanyia hizo kazi yes?
Hahah mkuu, hamna hitaji kubwa kwa mwanamke kama hakikisho la ulinzi wake ktk nyanja mbalimbali.

Na Pesa pekee ndio iwezayo kufanya ivo, mwanamke na pesa nivitu viwili mapacha.

Lkn sina maana yakua bila kufanya ivo ,basi pesa pia hamna hapa namaanisha...

Ikiwa mimi namuhudumia ,kwann yeye asiionyeshe kujali ?

Kiukweli kabisa izi mambo ndogondogo kwangu mimi ni kitu kikubwa sana ambacho mwanamke akinifanyia najiona Mkuu sanaaaaa ,nahapo nakua Dhaifu kwake .
 
Ni heri ungejisemea nafsi yako kiongozi...kuna washikaji wenzetu hata wafanyiwe nini bado hawaoi wanawake wa hivyo.

Usiseme tu eti haikuwa ridhiki...as if mwanaume kutokuwa na mpango wa kumuoa mwanamke wa hivyo ni sawa.
Hao washikaji sasa, ndio wanaofanya akina mama wapate cha kusema .

Ila kiukweli mzeee, mtoto anakutembelea, anakuta ndan hapako sawa, anakuweka sawa, anakuta mzeee nguo zipo ovyo. Anakufulia, anaanika, ananyoosha...


Usiku anakupikia, ana kupa gemu..

Unaanzaje kumwacha aende kwa mwingine???? Iyo gut unapata wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…