Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.

Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.

Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.

Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.

Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.

Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
........one among the best in April, big up!!.....
 
Mkuu wangu ipo hivi
Siyo mahusiano yote huwa toxic kwa sababu ya wanawake.

Sisi wsnaume most times ni kichefuchefu kwenye mahusiano.

Nadhani hao wa 34+ ni waelewa na wanajua nini maana ya mahusiano. Labda wachache ambao wamegoma kukua na kubadilika.

Ndoa ni matokeo ya TRUST projection baina ya wawili na siyo KUENDANA. Kama trust ina walakini bora usiingie kwenye ndoa kwa sababu ndoa siyo chuo cha mabadiliko bali ni kasri la utawala na maongozi.

Tusiwazonge mno hawa wadada wanaopambania pendo la nafsi zao kwani upweke ni maradhi ujue.

Ngoja niwaite wajumbe wachangie hoja
To yeye
Depal
Demi
Lulu michael dronedrake Rushayna Deborah9007 Equation x
 
Aisee yamekua haya !
4B343A6B-D5C8-4796-AA67-D12680DB7946.jpeg
 
Nichangie nini, sijasoma uzi 😂🤸‍♂️
Ila according to title, nasemajee. Mtuache tu, mambo kwa ground hayako hivyo.
 
Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.

Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.

Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.

Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.

Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.

Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Kwani ni lazima sana hawa wasichana na wanawake waolewe au ni vile tu jamii yetu na mazoea yake..

Mm naona mambo ya mahusiano ni mambo binafsi sana na halazimishwi mtu kuoa au kuolewa.

Tuwaacheni dada zetu tusiwape stress mambo mengine ni automatic tu
 
Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.

Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Na huu ndo ukweli, ni sahihi ndoa ni majaliwa ila sasa ndo usiwe mama huruma kila mtu ajipigie tuuu wengine wanaliwa kwa shida ndogo ndogo na tamaa, sawa bikra zimekua adimu ila swala la kuoa kiumbe kina body count zaidi ya 5 mmh! Ndo mtu unajiuliza una mikosi gan hupati mme akati zaidi ya mtu 10 zishakumwagia ndan huo tu mkosi tosha! Umeshindwa kutunza bikra body count matters aisee, mwanamke makini ata kama hana bikra mpaka anaolewa amekua na wananume wawili mwisho watatu coz kila anapokua na mtu anaweka malengo huyo ndo wa mwisho!!
 
Mtu wa miaka 34 anakuwa ameshachezewa Sana hafai kuolewa
 
Mkuu wangu ipo hivi
Siyo mahusiano yote huwa toxic kwa sababu ya wanawake.

Sisi wsnaume most times ni kichefuchefu kwenye mahusiano.

Nadhani hao wa 34+ ni waelewa na wanajua nini maana ya mahusiano. Labda wachache ambao wamegoma kukua na kubadilika.

Ndoa ni matokeo ya TRUST projection baina ya wawili na siyo KUENDANA. Kama trust ina walakini bora usiingie kwenye ndoa kwa sababu ndoa siyo chuo cha mabadiliko bali ni kasri la utawala na maongozi.

Tusiwazonge mno hawa wadada wanaopambania pendo la nafsi zao kwani upweke ni maradhi ujue.

Ngoja niwaite wajumbe wachangie hoja
To yeye
Depal
Demi
Lulu michael dronedrake Rushayna Deborah9007 Equation x
mie team nyeto, nitoe hapo chap
 
Back
Top Bottom