Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.

Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.

Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.

Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.

Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.

Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Kiufupi ni SINGLE MOTHERS 😅
 
Na huu ndo ukweli, ni sahihi ndoa ni majaliwa ila sasa ndo usiwe mama huruma kila mtu ajipigie tuuu wengine wanaliwa kwa shida ndogo ndogo na tamaa, sawa bikra zimekua adimu ila swala la kuoa kiumbe kina body count zaidi ya 5 mmh! Ndo mtu unajiuliza una mikosi gan hupati mme akati zaidi ya mtu 10 zishakumwagia ndan huo tu mkosi tosha! Umeshindwa kutunza bikra body count matters aisee, mwanamke makini ata kama hana bikra mpaka anaolewa amekua na wananume wawili mwisho watatu coz kila anapokua na mtu anaweka malengo huyo ndo wa mwisho!!
Mwanamke ambae kacheza na wanaume wawili watatu mbona bikra kabisa huyoo mkuu
 
.......hoja ya mtoa mada ina ukweli kwa kiasi kikubwa ingawa lazima tukubali pia sio wote wali-misbehave katika mahusiano, wengine ni utoto, wengine ni mikosi, wengine walikutana na wanaume wasiojitambua, wengine ni mapepo wamefungwa na viapo, wapo waliofiwa..........
........hivyo sio sahihi kusemana au kunyoosheana vidole hata kama upo kwenye ndoa njema bado hujui lini yatakukuta yaoi, Sasa ktk nyuzi kama hizi ambazo zipo offensive Kwa baadhi ya wahanga, niseme tu si vizuri sana kutajana majina au kumtag au kum-cc mtu hata kama unamfahamu kwamba ana changamoto zilizotajwa ktk hoja.......kila mmoja wetu anahitaji faraja na upendo ktkt yale magumu anayopitia regardless ni bahati mbaya au alijitakia(uzembe)..........
 
Halafu na bado wanakuwa na vigezo lukuki.
 
Mwanamke ambae kacheza na wanaume wawili watatu mbona bikra kabisa huyoo mkuu
Tunakoelekea hata alieliwa na 10 atakua anaonekana namba E kabisa kama magari ya japan tunayoletewa. Body count ya madem inatisha sku hizi mtu kapitiwa na watu 30+? Na unataka mume seriously?

Ila tukiacha masihara hili ata sio jambo la kuambiwa mwanamke inakuaje unawavulia wanaume 10 mpaka 20 chupi sio utamaduni wa muafrika halisi huu.. yan katika njemba 5 za mwanzo zote ulikua hujaweka malengo muoane?
 
mambo mazito sana na hali inasikitisha
 
Back
Top Bottom